george

George Papagheorghe (born 22 June 1982, in Constanța) a.k.a. Jorge and at times GEØRGE is a Romanian singer, dancer and TV host, specially for the talent competition România dansează on Antena 1 starting 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

    Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA. George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya...
  2. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM

    Kwenu Wanajema, Huu ni uzi mchungu kwa wanaCCM wengi vitatange, kwa sababu nagusia anguko la CCM ambalo nimelichambua na kuliona. **** Picha ya George Soros Kwa wafuatiliaji wa medani za nchi za magharibi na watu wake, George Soros sio jina geni kulisikia. Ni mmoja wa watu waliobahatika...
  3. Gumilapua

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bondia George Foreman afariki dunia

    Moja Kati ya mabondia mahili wa uzani wa juu kuwahi kutokea huwezi kumsahau George Foreman. Jana siku ya ijumaa mwamba ametutoka, ulimwengu wa ngumi na Sisi tuliopata walau bahati ya kupanda ulingoni hakika hatutamsahau huyu mwamba. Machache Tu kuhusu George ni bondia anaeminika kuwa na ngumi...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Angalia George Weah baada ya kutoka kwenye kiti cha Urais jinsi anavyoishi maisha ya kawaida

    Waafrika wengi hung'ang'ania madaraka kwa hofu ya kurudia kuishi maisha yao ya kawaida ya zamani. Lakini aliyekuwa Rais wa zamani wa Liberia, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo mwaka 2023 dhidi ya mpinzani wake Joseph Boakai, mambo yamekuwa tofauti. Weah ambaye kabla ya kuwa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama

    Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama. Hii inakuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa alipotangaza kuachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George Sanga na wenzake Gudluck Mfuse...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania SACP George Katabazi: Sekta binafisi Zitoe Elimu ya usafirishaji Salama wa kemikali hatarishi ya sodiam sayanaidi kwa Wafanyakazi

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Ķatabazi amesema sekta binafsi bado ni changamoto kwenye kutoa elimu kwa Wafanyakazi wao na jamii inayowazunguka juu ya madhara ya kemikali na jinsi ya kuepuka madhara hayo yasitokee. Hayo...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania George Mpole aliwahi kukataa ofa za Azam, Simba na Yanga, uzeeni atalaumiwa sana na watoto wake

    Mpira mchezo wa ovyo sana, muda wa kushine huwa hauzidi miaka 10 Unaweza kucheza kwa Ujanja ujanja au bahati moaka miaka 15-20 mwishi Kuna wachezaji wakitemwa na Simba au Yanga wanalia, wako radhi wajae benchi lakini akaunti isome Starehe Wanazokula na maendeleo waliyonayo wachezaji wa jizi...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashindwa kuwawekea mawakili George Sanga na wenzake. Huku makamanda wakila bata uraiani.

    Mdude amesikitika sana. 👇
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

    Toka nchi hii uanze kutekeleza miradi ya Maendeleo ni muda mrefu na miradi mingi ya kimkakati imetekelezwa ,ikiwemo pamoja iliyotekelezwa na wakoloni mfano mradi wa Reli ya Kati. Ukiachana na miradi iliyotekelezwa na wakoloni, nimejaribu kupima na kuangalia ukubwa na umuhimu wa miradi iliyowahi...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda ashangaa George Mpole kuanzia benchi dhidi ya Yanga

    Mchambuzi nguli kabisa wa boli kutoka Clouds FM ameshangaa kwanini mshambuliaji namba 1 wa Pamba kuanzia benchi licha ya kuanza mechi zote za awali. Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024 Yapi maoni yako?
  11. The introvert

    JamiiForums Tanzania Alichoandika George Ambangile YOUNG AFRICANS 6-0 CBE (7-0)Agg

    ANAANDIKA MCHAMBUZI,GEORGE AMBANGILE. . . ✍🏻Yanga wamecheza hii mechi utasema vile mechi ya mkondo wa kwanza alifungwa 1: Sharp wakiwa na mpira na bila mpira 2: Aggressive ( matumizi ya nguvu katika sehemu sahihi ) 3: Kushinda mipambano yao ( win duels ) 4: Recovery runs + Counter...
  12. Mchunguzi Fukara

    JamiiForums Tanzania Mfahamu George Stinner Jr, black America,kijana wakimarekani mweusi aliyeuawa kikatili alinyongwa akiwa na umri wa miaka 14 pekee

    Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo zaidi kuuawa kikatili Marekani akiwa na umri wa miaka 14 alinyongwa June 16,1944 na alizaliwa October...
  13. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania George Mpole kupewa man of the match NBC wamevurunda

    Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya
  14. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Jenister muhagama kuna huyu George Mkuchika

    Aisee tangu niko shule ya msingi Juhudi iliyopo ukonga magereza nasoma mpaka nimemaliza elimu uchwara za Bongo na kuingia mtaani hadi sasa nikiwa na miaka 27 hawa watu majina yao ni mheshimiwa waziri bla bla bla.....yani kwa lugha nyepesi wao ni mawaziri tu. Kuna watu hapa Tanzania keki ya...
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania By George Ambangile:Yanga wanajua kuvumilia Shida uwanjani,Simba inatakiwa ku improve beki iwe Sharp.

    Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake. Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi? Mara Ubaya Ubwela imeliwa. Mara Simba Mchumba. Nini Maoni yako Somaji?
  16. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex mpaka ndoa

    Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.! No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Polisi wamfanyia vibaya muandamanaji wa Hamas kama walivyomfanyia George Floyds

    Mwaka 2020 masikini mmoja aitwaye George Floyds alikufa kwa kukandamizwa chini na askari aitwaye Derek. Mkasa ule ulizua maandamano makubwa kote Marekani kwa miezi kadhaa. Mwaka huu askari wamefanya tena kama vile .Tofauti kati ya mwaka ule na huu ni kuwa Floyds alidhaniwa ni jambazi ikichangiwa...
  18. mngony

    JamiiForums Tanzania Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania George Job: Asilimia 99.99% ya mashabiki wa Simba ni wanafiki.

    "Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini baada ya kutolewa kwa aggregate wengi wanaamini kuwa walikuwa na nafasi ya kupita" "lakini Jana baada...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Stigler’s George imeanza kutoa umeme, tunaamini mgao utaisha kabisa

    Ni habari Njema kwa Stiglers George kuanza kutoa umeme tangu Feb 25th, hivyo tuna amini mgao wa umeme utapungua sana kama sio ukisha kabisa. ANGALIZO Kwa kuwa stiglers tumeambiwa in outlets (vinu 9) na jana wamewasha kimoja tu; Pengine wahakikishe hawawashi vyote ili tuwe na backup pale...
Back
Top Bottom