Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.
Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?.
Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto?
Hata barua yenyewe kujua kama ilishatumwa ni baada ya kufuatlia TAMISEMI ndo unaambiwa kibali chako tayari kishatumwa kwa...
Anonymous
Thread
geita
katika
kibali
mfanyakazi
mwaka
uhamisho
wilaya
Wasaalam wanajamvi,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.....
Licha ya Serikali kupambana kwa juhudi zote kuhakikisha watoto hasa wa kike wanapata elimu kuanzia ngazi zote ili iweze kuwasaidia kwa baadae bado Kuna ushirikiano duni kwa baadhi ya wanajamii.Bado Kuna watu wanaishika sharubu serikali...
Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe.
Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita.
Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe.
Yani mkoa una rasilimali za...
BILIONI 19.601 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI GEITA MJINI
Jumla ya Shilingi Bilioni 19,171, 601, 509. 00 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Geita Mjini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya...
Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.
Hayo yamesemwa jana kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na wachimbaji hao katika eneo...
No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi...
Hekaheka za Uchukuaji Fomu katika maeneo mbalimbali zinaendelea ambapo Mkoani Geita katika Jimbo la Geita Mjini Emmanuel Otto Ikolongo kupitia chama cha ACT wazalendo amechukua Fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge huku akitoa vipaumbele mbalimbali.
Ikolongo ambaye Ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...
Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited (GGML) umetoa msaada wa pikipiki 15 kwa Jeshi la Polisi kwa lengo la kusaidia shughuli za doria na operesheni mbalimbali zinazolenga kuimarisha usalama wa raia na mali zao.
Akipokea Pikipiki hizo kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...
Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge.
Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.
Habari wanajukwaa.
Naomba Kama unafanya kazi NSSF Geita njoo PM Kuna kitu ningependa nikuulize, au Kama unamfahamu anayefanya kazi hapo naomba uniunganishe naye.
Natanguliza shukrani.
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita kimetoa wito kwa wanachama wake kuzingatia utulivu na kuheshimu taratibu zilizowekwa wakati wa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
Akizungumza na wanachama wa CCM katika Kata ya Uyovu Wiaya ya Bukombe, Mwenyekiti...
Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza.
Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA
▪️Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR
▪️Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa
▪️Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote
▪️RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali...
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita.
Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
Jeshi la polisi mkoa wa Geita limepiga marufuku watendaji kuanzisha vituo vya polisi katika ofisi za kata bila kuwa na vibali kutoka serikalini.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamshna Msaidizi Mwandamizi Safia Jongo ameyasema hayo jana wakati wa muendelezo wa semina ya polisi jamii pamoja na...
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi SACP Safia Jongo ambaye ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita amesema hakuna mtu akiwemo Askari Polisi anayeruhusiwa kumpiga mtu bali anatakiwa amueleze kosa lake na amfikishe Kituo cha Polisi.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Safia...
Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea.
Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa kauli hiyo Aprili 9, 2025 wakati wa mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.