geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waalimu Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita hatujamaliziwa fedha zetu za kujikimu

    Ajira mpya wa mwaka huu 2026 tuliingiziwa kiasi cha shilingi za kitanzania laki mbili na themanini lakini tangu hapo hatujaona kitu tena huku kinacholeta wasi wasi zaidi tukiuliza wenzetu wa mwaka jana 2025 wanasema hawajapewa hata kidogo Bila sababu za msingi wakati ukiangalia ni haki ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo ubadilishwa, Sio sawa dhahabu inachimbwa Geita halafu viongozi wachache waamue mapato yajenge mikoa mingine wakati Geita haina stendi

    Huu mfumo wa mapato kupelekwa yote serikali kuu halafu watu flani ndio wanaamua wapi wajenge, ni mfumo ulipitwa na wakati, Centralization system haijali kabisa kuweka fungu la maendeleo kulingana na rasilimali zilizopo eneo husika, Mfano kuna dhahabu nyingi sana Geita na ni mkoa unaoongoza...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP – Geita hatujalipwa mshahara toka Januari 2026

    Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP hatujalipwa mshahara toka Januari 2026, tumeulizia kwa RACC kiongozi mratibu wa Afua ya UKIMWI Mkoa lakini hatupewi majibu sahihi kila siku anatuzungusha. ICAP ni International Center for AIDS Care and Treatment Programs kwa Geita na Mwanza ila kwa...
  4. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea mgodi wa Msata Geita

    Kwa ufupi sana kipindi majanga yanatokea hapo mgodini MSASA GEITA nilikuwepo na niliona kila kitu hadi jioni inafika nilikuwepo kuangalia kila hatua iliendelea... Itoshe kusema taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari viliangalia mambo mengi sana hadi kusema hakukuwa na vifo, ila sisi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Asilimia 61 ya Pombe zinazonywewa Tanzania ni haramu

    Biashara haramu ya pombe ina athari nyingi na za kina, ikiathiri uchumi wa Tanzania, uwekezaji, na pia kuhatarisha afya ya jamii kwa kiwango kikubwa. Akifanya Mahojiano na Mwananchi, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries Limited (TBL), Michelle Kilpin, alitoa tathmini yake kuhusu hali ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM Geita imechanganyikiwa? Madiwani walimkataa Manunga kuwa mwenyekiti wa Halmashauri . Leo hii mnafukuza uanachama huku mlilazimisha awe mqenyekiti?

    Alishindwa na Diwani Kapembe. Mkalazimiha awe Mwenyekiti. leo Mmefukuza uanachama
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Niliondolewa kazini CBWSO (Geita) lakini hawataki kunipa stahiki zangu

    Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025. Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Geita hatujalipwa fedha za kujikimu tangu Machi 2025

    Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu. Imekuwa kama mpira wa kona, hatuelewi kinachoendelea, kila kiongozi ukiuliza anasema hajui au hana jibu na kutuambia...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi: Tunashirikia na TAMISEMI kuchunguza mgogoro wa ardhi Katoro, tutatoa taarifa rasmi

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibwa, aliyedaiwa kubomoa baadhi ya majengo yaliyokuwa kwenye maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu katika eneo la Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro, Geita...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Rais Samia ameimarisha uchumi Geita kupitia ujenzi wa Barabara ya Kasamwa-Gamashi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa mwekezaji Geita: Waziri Shemdoe aingilia kati

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko chanzo cha mgogoro wa Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita

    Wakati Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Pasikas Mulagiri akisema chanzo cha mgogoro uliotokea leo Januari 22, 2026 katika mgodi wa Msasa, Runzewe mkoani Geita umesababishwa na kujaa kwa maji yaliyoletwa na mvua, Ofisi ya Ofisa Madili Wilaya ya Mbogwe amesema chanzo ni mvutano unaohusisha kiwango cha...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Mgodi wa Msasa zatokana na mgawanyo wa Hisa, Sio makato ya Serikali

    1. UTANGULIZI Mgodi wa Hadija Mkupi & Partners uliopo katika eneo la kijiji cha Msasa Runzewe Geita ulianza kufanya kazi mwishoni mwa mwaka 2025. 2. UENDESHAJI WA MGODI Mgodi huu unaendeshwa kwa namna mbili ambapo wamiliki wa leseni wanachimba katika maeneo huku maeneo mengine wamewakabidhi...
  14. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Geita walalamikia miundombinu duni

    Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mhandisi Chacha Wambura, amefanya kikao kazi na zaidi ya wenyeviti 70 wa mitaa na vijiji kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Geita, kwa lengo la kusikiliza kero na mahitaji ya wananchi katika maeneo yao. Katika kikao hicho, hoja zilizotawala ni changamoto za...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Geita: Polisi yawaonya Viongozi wa makundi ya WhatsApp 😄

    Kila kukicha mwisho mtavua nguo sasa. Viongozi wa makundi ya whatsapp mnatakiwa mje kutoa taamko.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tumefika pabaya sana kama Taifa. Kila kona watu wanaishi kwa hofu. Geita Gold Mine yasitisha uzalishaji kwa siku nane

    Kila kona watu wana hofu na wanahisi huenda kukawa na machafuko makubwa. Naambiwa na jamaa yangu mmoja kuwa Geita Gold Mining imesitisha uzalishaji kwa siku nane. Mpaka habari hii ya machafuko ya kuikataa CCM ya Samia ikae sawa. Wamezuia wafanyakazi kutoenda kazini kwa siku nane mpaka tar 12...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RPC Safia Jongo: SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji Geita

    SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji wote ambao tayari wanafanya shughuli zao na wale wenye dhamira ya kufanya uwekezaji katika mkoa wa Geita. Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Geita imetoa kauli hiyo mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Day 4: Wananchi Geita waendelea na maandamano

    Hii ni jioni ya leo, Novemba 01, 2025. Pamoja na matokeo kutangazwa, wananchi hawaonekani kuridhika
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 natarajia Mikoa ya Ruvuma, Geita, Songwe, Singida, Rukwa na Katavi iongoze Maandamano

    Mkoa wa Ruvuma ndo mkoa ambao Samia, Abdul, Rostam na CCM wanachimba madini ya makaa ya mawe kila siku na kuuza nje ya nchi kwa masaa 24. Hata hivyo ndo moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania. Wananchi wa mkoa huu wana umasikini usioelezeka. Mikoa ya Geita, Katavi, Songwe na Singida ndo mikoa...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa dini Geita wasisitiza utunzaji wa amani

    Viongozi wa dini mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwataka watanzania kuendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaohamasisha vurugu kupitia mitandao ya Kijamii.
Back
Top Bottom