geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Geita hatujalipwa fedha za kujikimu tangu Machi 2025

    Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu. Imekuwa kama mpira wa kona, hatuelewi kinachoendelea, kila kiongozi ukiuliza anasema hajui au hana jibu na kutuambia...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi: Tunashirikia na TAMISEMI kuchunguza mgogoro wa ardhi Katoro, tutatoa taarifa rasmi

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibwa, aliyedaiwa kubomoa baadhi ya majengo yaliyokuwa kwenye maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu katika eneo la Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro, Geita...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Rais Samia ameimarisha uchumi Geita kupitia ujenzi wa Barabara ya Kasamwa-Gamashi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa mwekezaji Geita: Waziri Shemdoe aingilia kati

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko chanzo cha mgogoro wa Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita

    Wakati Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Pasikas Mulagiri akisema chanzo cha mgogoro uliotokea leo Januari 22, 2026 katika mgodi wa Msasa, Runzewe mkoani Geita umesababishwa na kujaa kwa maji yaliyoletwa na mvua, Ofisi ya Ofisa Madili Wilaya ya Mbogwe amesema chanzo ni mvutano unaohusisha kiwango cha...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Mgodi wa Msasa zatokana na mgawanyo wa Hisa, Sio makato ya Serikali

    1. UTANGULIZI Mgodi wa Hadija Mkupi & Partners uliopo katika eneo la kijiji cha Msasa Runzewe Geita ulianza kufanya kazi mwishoni mwa mwaka 2025. 2. UENDESHAJI WA MGODI Mgodi huu unaendeshwa kwa namna mbili ambapo wamiliki wa leseni wanachimba katika maeneo huku maeneo mengine wamewakabidhi...
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Geita walalamikia miundombinu duni

    Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mhandisi Chacha Wambura, amefanya kikao kazi na zaidi ya wenyeviti 70 wa mitaa na vijiji kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Geita, kwa lengo la kusikiliza kero na mahitaji ya wananchi katika maeneo yao. Katika kikao hicho, hoja zilizotawala ni changamoto za...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Geita: Polisi yawaonya Viongozi wa makundi ya WhatsApp 😄

    Kila kukicha mwisho mtavua nguo sasa. Viongozi wa makundi ya whatsapp mnatakiwa mje kutoa taamko.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tumefika pabaya sana kama Taifa. Kila kona watu wanaishi kwa hofu. Geita Gold Mine yasitisha uzalishaji kwa siku nane

    Kila kona watu wana hofu na wanahisi huenda kukawa na machafuko makubwa. Naambiwa na jamaa yangu mmoja kuwa Geita Gold Mining imesitisha uzalishaji kwa siku nane. Mpaka habari hii ya machafuko ya kuikataa CCM ya Samia ikae sawa. Wamezuia wafanyakazi kutoenda kazini kwa siku nane mpaka tar 12...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RPC Safia Jongo: SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji Geita

    SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji wote ambao tayari wanafanya shughuli zao na wale wenye dhamira ya kufanya uwekezaji katika mkoa wa Geita. Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Geita imetoa kauli hiyo mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Day 4: Wananchi Geita waendelea na maandamano

    Hii ni jioni ya leo, Novemba 01, 2025. Pamoja na matokeo kutangazwa, wananchi hawaonekani kuridhika
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 natarajia Mikoa ya Ruvuma, Geita, Songwe, Singida, Rukwa na Katavi iongoze Maandamano

    Mkoa wa Ruvuma ndo mkoa ambao Samia, Abdul, Rostam na CCM wanachimba madini ya makaa ya mawe kila siku na kuuza nje ya nchi kwa masaa 24. Hata hivyo ndo moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania. Wananchi wa mkoa huu wana umasikini usioelezeka. Mikoa ya Geita, Katavi, Songwe na Singida ndo mikoa...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa dini Geita wasisitiza utunzaji wa amani

    Viongozi wa dini mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwataka watanzania kuendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaohamasisha vurugu kupitia mitandao ya Kijamii.
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana Geita kuhimizwa kupiga kura kwa wingi Oktoba 29

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Geita Mjini, Ndaro Samsoni, amewahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Oktoba 29 mwaka huu ili kuchagua rais, mbunge na diwani. Ndaro amesema ushiriki wa vijana ni muhimu kwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa...
  15. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi mkoani Geita zaanza kwa kishindo

    MBIO ZA KUKINADI CHAMA CHA MAPINDUZI MKOANI GEITA ZAANZA KWA KISHINDO 📌 Majimbo 7 kati ya 9 yapita bila kupingwa 📌 Kata 92 kati ya 122 zapita bila kupingwa 📌 Maelfu wakusanyika kusikiliza Ilani ya CCM 2025-2030 📌 Dkt. Biteko awasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Dkt. Samia...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Habari wakuu Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi Nime plan kukaa kwa miezi...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita wavunja rekodi,wagombea ubunge wawili ni wahitimu wa darasa la saba B

    Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala saba B huko Nzera Chato Kusini, Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B Pia elimu ya Mbunge wa Geita mjini bwana Chacha Wambura aka Waja Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
  19. bro alex

    JamiiForums Tanzania Kama dhahabu tu inatosha kibadili taswira ya Burkina Faso je dhahabu ya Geita ingeifanya Geita kuwa ya namna gani?

    Kuna muda Huwa naona Bora GEITA ingekuwa ya wachaga si wasukuma huenda ingekuwa MBALI sana. Burkinafaso fujo zote Mali ,Ghana, afrika kisini kwa mbali fujo zote ni DHAHABU njoo nyumbani GEITA ujionee umaskini miundombinu Dunia dah. Maana hao jamaa wanauelewa ila nyumbani huko ni ccm tu hata...
  20. Mwiba1

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muwekezaji au mnunuzi wa mgodi wenye riport zote za exploration upo Geita

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
Back
Top Bottom