geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwiba1

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muwekezaji au mnunuzi wa mgodi wenye riport zote za exploration upo Geita

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa dhahabu wa Geita kuwalipa fidia wananchi kupisha shughuli za uchimbaji

    MGODI WA DHAHABU WA GEITA KUWALIPA FIDIA WANANCHI KUPISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI ▪️Ni Wananchi wa Nyakabale na Nyamalembo ▪️Waziri Mavunde alekeza zoezi lianze mapema ▪️Wananchi Geita wamshukuru Rais Samia kwa utatuzi wa mgogoro uliodumu miaka 26. 📍Geita. Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Maabara ya kisasa Geita kuwainua wachimbaji kanda ya ziwa

    ❖ Baada ya Miaka 100 GST Yajielekeza kwenye Ujenzi wa Maabara za Kisasa ❖ Kuhudumia mikoa ya kimadini ya Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Kahama na Shinyanga ❖Maabara nyingine kujengwa Chunya na Dodoma 📍Geita. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde, amesema ujenzi wa maabara ya kisasa ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita: Askari wanne wa Jeshi la Uhifadhi wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Baada ya mdau kuweka uzi hapa jukwaani, akihoji ukimya wa TFS na Jeshi la Polisi juu ya mauaji yaliyofanywa na askari hao kwenye pori la uhifadhi (Kwa maelezo ya tukio hilo ingia hapa: DOKEZO - GEITA: Kuna Kijana ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Pori la Kigosi, TFS na Jeshi la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded GEITA: Kuna Kijana ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Pori la Kigosi, TFS na Jeshi la Polisi mbona mpo kimya?

    Kuna tukio limetokea huku kwetu Kijiji cha Msonga Kata ya Runzewe, Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, kama tutaendelea kubaki kimya hakuna kitakachofanyika na hatua hazitachukuliwa. Kuna kijana amepoteza maisha kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Hifadhi ya Msitu Kigosi ambayo inasimamiwa...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Andiko la maoni ya kijamii kuhusu matumizi ya viongozi wa serikali kwenye matukio ya taasisi binafsi – KCB Geita

    Tarehe: ___ Mwandishi: Mwananchi mzalendo kutoka Mkoa wa Geita UTANGULIZI Katika wiki ya pili ya mwezi Agosti 2024, taifa lilishuhudia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko, akizindua tawi la benki ya KCB (Kenya Commercial Bank) katika Mkoa wa Geita. Tukio hili limeacha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli Mgombea Ubunge Viti Maalum Kundi la Vijana Geita akiomba kura kwa wajumbe

    Mgombea wa Nafasi ya Viti Vya UBUNGE Viti Maalumu CCM Kupitia Vijana tokea Mkoani Geita, Jesca John Magufuli akijitambulisha Mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM Leo Dodoma
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata 'Wanawake na Maendeleo ' atoswa tena Geita

    Yule Malkia wa nguvu aka Mwanamke shupavu bingwa wa mambo ya urithi ametoswa tena huko Geita. Wajumbe si watu wazuri
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viwanda vipya 718 vimejengwa Geita

    Rais Samia Suluhu Hassan, amejenga viwanda vipya zaidi ya 700 ikiwemo GGR kinachosafisha kilogram 440 za dhahabu kwa siku ajira mpya zaidi ya 14,000 zimezalishwa ndani ya miaka 4 ya uongozi wake Katika kipindi hicho, viwanda mkaoni Geita vimeongezeka kutoka 824 mwaka 2021 hadi viwanda 1,542...
  10. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania Kama asingetoa TZS20bn za elimu bure watoto wetu zaidi ya 1,317,018,43 wangegeuka machokoraa

    Rais Samia amewezesha TZS 20 bilioni kugharamia elimu bure mkoani Geita. Jumla ya wanafunzi 1,317,018,431 walijiunga na chekechea, darasa la kwanza, na kidato cha tano. Kama asingetoa pesa hizi, vijana wengi wangetumbukia kwenye uhalifu, hasa wizi na matumizi ya madawa ya kulevya. Mpango wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa mwenyekiti BAVICHA Geita hajulikani alipo

    Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita Vijijini, Mbeshi Paulo, ameripotiwa kutoweka katika mazingira ya utata baada ya kuchukuliwa na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa askari wa Polisi. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila, kupitia ukurasa wake...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Picha:Luhaga Mpina yupo Geita kutafuta msaada wa kiroho

    Hii nadhani ndiyo inaitwa kutafuta kitu kwa udi na uvumba.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GEITA: Mwalimu Shule ya Msingi Waja ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia kinyume Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi wake wa Darasa la Tatu mwenye umri wa Miaka 7, kinyume na kifungu cha 154(1)(a) na (2) cha Kanuni ya...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 112 chuo cha VETA Geita wanufaika na kusoma bure

    Wanafunzi wa chuo cha VETA Geita kilichopo kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusogeza huduma ya masomo bure katika chuo hicho. Wakizungumza na Storm FM baadhi ya wanafunzi wamepongeza hatua hiyo huku Mkuu wa chuo cha VETA Geita...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Geita itangazwe Kanda maalumu ya Kipolisi

    Enzi za JK wilaya ya Tarime walikuwa na vijitabia vya ukatili katili wakaanzishiwa kanda maalumu wakatulizwa kibabe. Njombe na Geita wana ujanja wa kizamani,ukatili na kuuana, Ushauri wangu kwa wahusika, Geita itangazwe kanda maalumu ya kipolisi na pia waweke RPC mbabe. Huyu mama Safia Jongo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RPC Safia Jongo: UTPC tusaidieni Geita, Waandishi wengi hawana Maadili

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Safia Jongo ametoa wito kwa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kuongeza nguvu na kuboresha hali ya utendaji wa Waandishi wa Habari Mkoani hapo kwa kile alichodai kuna changamoto ya utendaji na kukosekana kwa weledi. Akizungumza katika...
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa kata ama kijiji anapaswa kuwa na degree ya utawala, au sheria ama associate degree kwa mambo ya uongozi. Siyo hawa watoto wenye vyeti

    Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana wa miaka 26 atangaza nia ya kugombea Jimbo la Geita mjini

    Joto la uchaguzi mkuu likiwa linazidi kupanda kwa baadhi ya wanasiasa katika halamshauri ya manispaa ya Geita Elia John Yohana mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni muhitimu Shahada ya kwanza ya Elimu ya sayansi ametangaza rasmi kugombea Ubunge Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya chama cha...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Kamati mbalimbali zaundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo, hususani kwenye nyanja za Elimu na Afya, zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia hatua kwa hatua...
Back
Top Bottom