Ikiwa umelichagua mwenyewe kwenye mtandao na befoward wakakuagizia, bado watawajibika kujua ubora wake?Zungumza na kampuni waliyokuuzia gari kutoka Nje juu ya ubora wa gari lao. Ingawa nahisi utakuwa nje ya muda, mfano kampuni ya Beforward huwa wanakupa warranty ya siku 7 toka ulivyopokea gari, unawataarifu kuhusu ubovu wa gari na wao ndio watashughulikia matengenezo. Huwa wanajiamini sababu kabla ya kusafirishwa gari huwa linafanyiwa ukaguzi na hali ya gari huwekwa kwenye ripoti.
Sasa hili la kwako vile umeshaanza kulichokonoa, na uliagiza kupitia ajenti, huenda ushauri wa kwanza usifanikiwe - komaa na ajenti wako, agharamie matengenezo au la aongee na waliomuuzia. Ikibidi akuagizie gari jingine litalokua zima.
Waweza kuepuka hilo kwa kutumia kampuni zenye hadhi kama Autorec.Wajuzi tafadhali. Nimeagiza Gari but tangu limefika limeweka kiota cha kudumu gereji. Kwa Hali hii naweza fanyeje ili nipate haki yangu hasa kwa agent aliyeniagizia
Zungumza na kampuni waliyokuuzia gari kutoka Nje juu ya ubora wa gari lao. Ingawa nahisi utakuwa nje ya muda, mfano kampuni ya Beforward huwa wanakupa warranty ya siku 7 toka ulivyopokea gari, unawataarifu kuhusu ubovu wa gari na wao ndio watashughulikia matengenezo. Huwa wanajiamini sababu kabla ya kusafirishwa gari huwa linafanyiwa ukaguzi na hali ya gari huwekwa kwenye ripoti.
Sasa hili la kwako vile umeshaanza kulichokonoa, na uliagiza kupitia ajenti, huenda ushauri wa kwanza usifanikiwe - komaa na ajenti wako, agharamie matengenezo au la aongee na waliomuuzia. Ikibidi akuagizie gari jingine litalokua zima.
Sikuzote kama unataka Usalama na uhakika wa gari Bora Fanya biashara na be forward na SBT na cardealpage.Zungumza na kampuni waliyokuuzia gari kutoka Nje juu ya ubora wa gari lao. Ingawa nahisi utakuwa nje ya muda, mfano kampuni ya Beforward huwa wanakupa warranty ya siku 7 toka ulivyopokea gari, unawataarifu kuhusu ubovu wa gari na wao ndio watashughulikia matengenezo. Huwa wanajiamini sababu kabla ya kusafirishwa gari huwa linafanyiwa ukaguzi na hali ya gari huwekwa kwenye ripoti.
Sasa hili la kwako vile umeshaanza kulichokonoa, na uliagiza kupitia ajenti, huenda ushauri wa kwanza usifanikiwe - komaa na ajenti wako, agharamie matengenezo au la aongee na waliomuuzia. Ikibidi akuagizie gari jingine litalokua zima.
Usisahau umenunua used car.... probably over 10yrs old!Wajuzi tafadhali. Nimeagiza Gari but tangu limefika limeweka kiota cha kudumu gereji. Kwa Hali hii naweza fanyeje ili nipate haki yangu hasa kwa agent aliyeniagizia
Ingawa ndiyo tunatumia Magari yaliyotumika zaidi ya miaka 10 lakini sikuhizi kuna agent kazi Yao ni kumshawishi mteja achague garusUsisahau umenunua used car.... probably over 10yrs old!
Subaru forester third generation zimeanzia 2008 nakuendelea,Subaru Forester hizi new model kwa bongo
Beforward ni wauzaji, kwa hiyo unapochagua gari wao wanakuuzia na sio kuwa maajenti wako. Bado watawajibika kwa ubovu wa gari lako, maana wanapaswa kukuuzia gari lililo zima au kama ni bovu uwe umeridhia mwenyewe.Ikiwa umelichagua mwenyewe kwenye mtandao na befoward wakakuagizia, bado watawajibika kujua ubora wake?
Mafundi wengi hawana uzoefu na hizi gari, inaweza kuwa ndo kitu kinachokutesa! Kama hutojali elezea tatizo la gari lako nikushauriSubaru Forester hizi new model kwa bongo
Pole sana mkuu,Subaru Forester hizi new model kwa bongo
Kama hiiSubaru Forester hizi new model kwa bongo
Mkuu kale ka Vw golf ketu ni ka mwaka gani vileeUsisahau umenunua used car.... probably over 10yrs old!
Nafikiri huwa wanagonga sticker tu..ukaguzi sidhaniBeforward ni wauzaji, kwa hiyo unapochagua gari wao wanakuuzia na sio kuwa maajenti wako. Bado watawajibika kwa ubovu wa gari lako, maana wanapaswa kukuuzia gari lililo zima au kama ni bovu uwe umeridhia mwenyewe.
Hata hivyo kisheria ni lazima gari ikaguliwe na wakala wa ukaguzi kuhakikisha ubora wa gari.
Pole sana mkuu,
Ila kumbuka ubora wa gari unaanzia kwenye millage