gari

  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, Mbunge mstaafu Upendo Peneza wa CHADEMA alibariki manunuzi ya gari ya DED kwa TZS 460 milioni?

    Kwa kawaida tumezoea kuwaona Wabunge na madiwani wa CHADEMA wakitoka mbele haraka haraka kutoa taarifa pindi wanapohisi kuna ufisadi kwenye maeneo yao. Kwa mfano Devotha Minja wa Morogoro aliweka wazi ufisadi uliokuwa unafanywa kwenye ujenzi wa stendi ya msamvu wakati Rais Magufuli...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwani gari Toyota VX "Geita Model" ni bei gani dukani? Na taratibu za manunuzi serikalini zikoje?

    Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

    Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
  4. JamiiForums Tanzania Njia gani simple ya kuzuia ule unga kwenye terminals za betri ya gari?

    Jana nilipaki gari yangu mahali kama dakika tano hivi nikashuka kununua matunda. Kurudi nawasha gari inatoa mlio krrrrr lakini starter haipigi. Kifupi haikuwaka. Hangaika sana pale. Nikasema si nilikua naiendesha sasa hivi? What happened... Nikashuka nikafungua boneti, nikachek Coolant ipo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

    Wakuu tukienda moja kwa moja kwenye mada, nipo kwenye mchakato wa kubadili kababy walker kangu hivyo basi katika pita pita zangu huku na kule mtandaoni nikakutana na huyu mnyama anaitwa Nissan Dualis na akanivutia sana. Kwa hiyo nilikuwa naomba ushauri wenu kuhusu hiyo gari. Kuanzia kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-amtumbua-mkurungenzi-wa-geita-kwa-kununua-gari-la-zaidi-ya-tsh-milioni-400.1818248/ Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
  8. JamiiForums Tanzania Nipande gari gani kutoka Ali Hassan Mwinyi Road kwenda Bamaga?

    Habari zenu. Naomba kujua kutoka mtu anayejua nipande Daladala ipi kutoka Aga Khan kwenda Bamaga.
  9. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nunua gari ambayo hujawahi kuona Tanzania

    Toyota Landcruiser (Unique car) Make TOYOTA Model FJ Cruiser Engine size (cc) 4000 Fuel Petrol Color Silver 70,000,000
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwili wa binadamu ni kama gari

    Unaambiwa usiku mwili hautakiwi ule ushibe sana halafu ukalale ni sawa na gari ujaze mafuta full tank halafu ukapaki Unaambiwa mazoezi siyo adhabu asubuhi baada ya ufanya mazoezi hutakiwi kujipongeza kwa kulala usingizi kama ishara ya kupumzika ni sawa na gari uliwashe na kupiga mares kibao...
  11. JamiiForums Tanzania Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako...
  12. JamiiForums Tanzania Gari yangu inalia mlioo wa kukakamaa napokata kona mpaka mwisho, tatizo ni nini?

    Ni gari aina ya toyota sprinter, unapozungusha steering wheel (msteringi 😂) kwa sana inaanza kupiga kelele ka ka ka ka, kuna vishindo unavisikia kwa mbali vinavyoambatana na hio sauti. Na kama vp tusaidiane bajeti ya kutegemea, nsije pigwa na mafundi. MREJESHO Sehemu ya kwanza alikopeleka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kubadilishana nyumba / kiwanja kwa Gari

    Sold
  14. JamiiForums Tanzania Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

    Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy. Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye...
  15. JamiiForums Tanzania Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Namiliki babywoka jamii ya IST, Swift, Honda Fit au Passo. Asubuhi napowasha gari au mfano gari nimepaki mahali muda mrefu, nipokuja kuwasha gari si inakuaga P? Okey, sasa nashika gear lever naweka Reverse kutoa parking/getini. Kisha nikipeleka D au L au 2 ili niondoke, gari inafanya kama...
  16. JamiiForums Tanzania Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

    Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
  17. JamiiForums Tanzania Devel Sixteen V16: Gari yenye kasi zaidi duniani

    Leo sio Bugatti, Mclaren wala Koenigsegg , mambo this time yako tofauti na hii ni rekodi ya tangu mwaka 2018. Devel Motors yenye makazi yake mjini Dubai waliachia huo mdude 2018 wenye top speed ya 310 mph ( 500 km/h ) 😃 😃 Model: 2018 Devel Sixteen Year: 2018 Top Speed: 310 mph (500 km/h)...
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

    Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo . Chombo iyo 14m lazima niwatembezee moto
  19. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

    Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa Ni imara na haikati misumeno Ina watts 550 Ina sehemu ya kusagia nyama Ina warranty mwaka mmoja Bei 1,350,000 tu Tunapatikana kariakoo ndanda st Tunadeliver free kwa dar pia. Call/text/WhatsApp 0656666662.
  20. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

    Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu. Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits. Nashukuru.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…