Maisha ya mwanadamu yamejaliwa na kumbukumbu nyingi sana, nyingi na mbaya, zenye kutufundisha na zenye kuburudisha. Al mradi ni matukio yalitokea na yakapita.
Nakumbuka mwaka 2018, tarehe kama ya leo na mwezi huu huu, nikiwa na gari ndio lina siku nne tu tangu lipite pale gati namba mbili na...