Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu
Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo
Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake
Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
Msaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
Tuseme tu ukweli! Ka tinted! ni kaugonjwa ketu wengi!
Sina maana huu uzi niwakuwatambia hapana; siyo lazima niwe na kagari ili kuifurahia tinted, bali hata napopewa lift tu madhila, kero na utamu wa tinted huwa unaonekana!
Tinted ni kilevi kama vilevi vingine visivyolewesha!
Kupenda kunywa...
Wakuu habari za asubuhi.
Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka.
Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl.
Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?
Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Hello Africa,
Week hii ni wiki yangu ya kwanza kuendesha gari, nimetoka nalo Mbezi mpaka Posta naona barabara nzito sana, naona bora niachane na kuendesha gari.
Picha inaaza nimetoka nalo vizuri, ile nafika pale Kimara naona gari inataka nishinda kisa boda boda wanaingilia nisije kufa...
Wengi wao.....
1. Wana Hasira (Usununu)
2. Wakali
3. Wajeuri (Ngumi Mkononi)
4. Wana PhD"s za Matusi
5. Hawajui Kutabasamu
6. Wana Stress na Frustrations
7. Mabingwa wa Kugongea Misosi ya Watu na Kulazimisha kupewa Lifti nyakati za Jioni / Usiku
Kuna Mmoja nimekutana nae mahala nimemchanganyia...
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.
NB: Ni kwa ajili ya kutembelea...
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
ICC kazi kwao kumkamata, yupo Ukraine anavinjari mitaa ya mauripol
===
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya Crimea katika kuadhimisha miaka tisa tangu alipoinyakua kutoka Ukraine
Putin aliutembelea pia mji wa...
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.
Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.
Katibu wa CCM wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Hii sasa ni too much
Unamfananishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es Salaam na mtumishi wa umma?
Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajali kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6?
Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni...