Nawasalimu wadau
Bila kupoteza muda, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele na kuziweka ndani, hii hali nimeiona zaidi nikiwa mkoa wa dodoma.
Sasa sijui ndo mageuzi au basi tu ni kupungua kwa...
Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?
Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20, ambapo ulinzi umeimarishwa.
Rais wa Marekani Joe Biden atawasili nchini India kushiriki katika...
Hakuna aliye salama......
SCREENSHOT
A car carrying two Russian FSB employees and military personnel has been blown up in the temporarily occupied town of Oleshky, Kherson Oblast.
Source: UP sources in the Security Service of Ukraine.
Details: One of the FSB employees was killed instantly...
Kumekuwa na Trends siku hizi Madereva hasa hawa wa Daladala wakifika sehemu kuna taa au Foleni huwa wanashuka na kujizugisha zugisha au kulizunguka Gari akisubiri foleni itembee.
Hichi Kitendo ni kibaya na kinahatarisha usalama wa Abiria, Ikitokea Gari inakuja imefeli breki au kukosa uelekeo...
Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo.
Kwa mawasiliano 0786168340
Wale mabwana wana njaa hatari, hata buku buku wanachukua. Ole wako utoe leseni bila kiambatanisho utaulizwa hadi "herro, kwa nini tairi za gari yako zina vumbi?, nakuandikia kosa.
Ukiombwa leseni, toa na kiambatanisho baadaye utakuja nishukuru nimekaa pale!.
Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika.
Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri...
Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya...
Bahati mbaya GENTAMIYCINE nayajua Majina ya Makondakta kwa Herufi zao za mwanzo za Majina yao ya mwisho ( ubini ) pekee.
Ni Kondakta A, Kondakta K, Kondakta N, Kondakta K, Kondakta M, Kondakta N, Kondakta C, Kondakta S, Kondakta M na Kondakta A.
Kwa Nguvu Kubwa ya Ushawishi na hata Ubabe (...
Gari inauzwa bei TSH.21,000,000/-TU ipo kwenye hali nzuri sana ilikua inasafirishiwa mikate tu ,mwenyewe kapatwa na shida ya ghafla anauguliwa ,ukihitaji kuiona ipo maeneo ya kigamboni maelezo zaidi mawasiliano,0768496151/0777496161.
Huu uzi nilitamani ningepata Automatic Gearbox mbovu nikaufanyia video. Kwa maana ninaamini kwa njia hiyo wote mngenielewa vizuri. Hata hivyo nitajitahidi kuelezea kwa kadri nitakavyoweza.
Hebu iangalie hii picha vizuri. Hii ni cross section ya Gearbox ya automatic. 99% gearbox za automatic...
#BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
1. Suzuki Carry
Hii inaingizwa kwenye list kutokana na ubora wa engine yake. S. Carry ni gari ambayo engine yake iko very robust. Inachanganya kwa upesi sana. Huwa naifananisha engine hii kama engine ya piki piki ya mashindano iliyofungwa kwenye gari.
2. Mitsubishi Pajero Mini
Ukishasikia gari...
Habari za kazi wadau,
Naomba kama utakuwa unauza au unarafiki anauza gari nzuri iwe engine ndogo na neat condition. Gari inayohitajika iwe kati ya Premio new model, Allion, Vits New model, spacio new model, Raum au Ractis. Budget ni 7.5M hadi 8M
Nitumie picha na location.
Asanteni sana na...
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.
Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.
Hakuna mwanamke...
Heshima zenu wakuu!
Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko.
Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye...
Salaam wakuu,
Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion.
Bajeti yangu ni TZS 6M. Tuwasilisane kupitia namba 0622078182.