gari

  1. T

    JamiiForums Tanzania Goodluck Gozbert kiroho yupo sahihi kuchoma gari soma hii.. 1Sam15-20

    Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri. Shetani ktk hii dunia ya leo anafanya kazi kwa namna ukijuwa unaweza kuogopa watu,zawadi,maneno,vyakula, macho ya watu nk. Ndugu...
  2. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu. Bila shaka tutakusikia tena...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Good luck Gozbert kuchoma gari angeanza na kujiuliza maswali yafuatayo

    Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi. Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo. Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga. Baada ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  5. K

    JamiiForums Tanzania Je naweza ungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari?

    Salaam, Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania TRA: Ukitoka kuagiza gari kutoka nje (Mfano Japan), lazima uwe na TIN number

    Naona utaratibu unazidi kubadirika. Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari. Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
  7. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

    Wakuu naomba ufafanuzi katika hili. Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma. Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma. Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
  8. Alubati

    JamiiForums Tanzania Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je, unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?

    Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na huo mwingine breki na klachi. Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na huo mwingine kwenye break. Au unaweza kutumia mguu mmoja...
  10. Olsea

    JamiiForums Tanzania Msaada muda wa kubadili oil kwenye gari.

    Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KAMISHNA ;ZILE GARI ZA KUTOKA KENYA ..UGANDA CHUNGUZENI PALE WANAPOKANYAGIA...KWENYE KORIDOO HATAREE....

    Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa Fanyaaaa showe wiki nzimaaa Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa N...
  12. DOM_LEADER

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa Mbeya mjini

    Gari aina ya crown inauzwa mbeya mjini kwa maelezo yooote,,, Call this number 0756944830 Au 0629903097..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Gari zuri

    Habari za leo wanajamvi Naombeni ushauri wenu juu ya uchaguzi wa gari. Ushauri uangalie vitu kama 1. Unywaji wa mafuta ( naendesha km 5o kwa siku) 2. Upatikanaji wa vifaa 3. Ubora na kudumu kwa gari kwa kuzingatia mazingira ya barabara zetu Ni lipi gari zuri kati ya hizi 1. Subaru XT 2. Suzuki...
  14. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Ally Idavas ameacha vyeti vyake kwenye gari. Msaada ili avipate

    AMEACHA VYETI VYAKE KWENYE GARI Anayemfahamu Ndugu Ramadhan Ally Idavas, Vyeti vyake ninavyo. Nilichanganya begi, nikachukua lake nikaacha langu kwenye basi la An Express la kwenda Dar es Salaam. Nilishukia Feri (Dumila - Morogoro) Begi lake lina; 1. Vyeti Kidato cha Nne - Ujenzi Secondary...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  16. jannelle

    JamiiForums Tanzania Nitoeni ushamba leo juu ya kuagiza gari mtandaoni

    Nilipita mtandao fulani nikaona Gari, ila kuna sehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je ni kodi tayari included or hapo ni kuagiza na kusafirisha tu. Msaada picha mfano👉🏼
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitapata gari gani convertible price ndogondogo

    Kwa wasiojua convertible ni gari ambayo ina paa ambayo inaweza kukunjwa chini au kuondolewa. Mad Max na @extrovent msaada tafadhali
  18. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Nilipogundua Subaru Forester inatumia Filter 2 nikauza gari kuepuka stress

    Nilijichanganya 2022 nikanunua 2009 Subaru forester. Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2. Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
  19. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Nina million 23 nataka Gari

    Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
  20. Franklee

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini gari za Singapore zinaogopwa?

    Cha kwanza inabidi ujue kuwa kumiliki gari ukiwa Singapore ni mtiti, kukamilisha usajili wa gari ukiwa Singapore inawezekana ikawa ni gharama zaidi hata ya Tz japo sisi tunatumia second hand wao hata mpya zinakua na gharama sana. Kuna kitu kinaitwa Certificate of Entitlement (COE) hapa...
Back
Top Bottom