gari

  1. Franklee

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini gari za Singapore zinaogopwa?

    Cha kwanza inabidi ujue kuwa kumiliki gari ukiwa Singapore ni mtiti, kukamilisha usajili wa gari ukiwa Singapore inawezekana ikawa ni gharama zaidi hata ya Tz japo sisi tunatumia second hand wao hata mpya zinakua na gharama sana. Kuna kitu kinaitwa Certificate of Entitlement (COE) hapa...
  2. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya Gari za Abiria Barabara ya Mbeya - Kyela (Kilometa 120+) kubeba Abiria kuliko uwezo ni hatari kwa usalama

    Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake. Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti vya katikati kisha wanasimamisha abiria, fikiria umbali wa zaidi ya Kilometa 120 Watu wanasimama ndani...
  3. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Hivi gari kama hii inatakiwa mafuta ya Tsh ngapi uweze kula nayo misele mjini hasa kipindi hiki cha holiday

  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SALINI HIZI SIKU 2 N ZAIDI YA MWAKA ANGALIEN KIPINDI CHA AJALI CLOUDS TV..MALIZAKO GARI ZILIZOFYEKWA MUNGU TUSAIDIE

    Shalom Wana WA Mungu alie hai Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa Siohaba kukuomba...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
  6. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Ukiagiza bidhaa au gari na ukakwama ushuru ni vyema baada ya gari kufika ukapeleka Bonded Warehouse

    Kama umeagiza gari au bidhaa na ikawa imefika Kwenye Bandari na wakati huo pesa ya ushuru umepungukiwa,kukwama au hukuwa na taarifa sahihi za ushuru na makadirio ya kodi yamekuja zaidi ya kiwango ulichopanga njia sahihi ni kumwambia wakala wa Forodha(Clearing Agent) afanye maombi (TRA) ya...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  8. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

    Watz ni watu wajinga Sana . Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima. Baba Mama Watoto Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote. Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
  9. ginyisi

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  10. ankol

    JamiiForums Tanzania Gari ipi ni low budget lakini ukiwa nayo unaonekana unazo?

    Habari wanajamvi. Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa. Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo. Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya. Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Gari lavamia soko, Watu watano wafariki, wengine zaidi ya 160 wajeruhiwa

    Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town of Magdeburg, in what local officials are describing as a terror attack. At least 68 other people...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  13. The last don

    JamiiForums Tanzania Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti Mawasiliano kuja kutazama bure: 0621973591 Kodi ni malipo ya miezi sita Hela ya udalali kama...
  14. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe amuonya Lissu adai kuhusu uenyekiti asema Lissu anatunza Fedha zake Ubelgiji

  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gari lagonga treni Kigogo Fresh, Dar

    Gari dogo la abiria limegonga treni ya abiria katika eneo la Kigogo Fresh, wilayani Ilala, Dar es Salaam, leo asubuhi, Desemba 18, 2024. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), Conrad Simuchale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Video iliyosambaa...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

    Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita...
  17. Brojust

    JamiiForums Tanzania Hii baa ya Maikoz Mbweni, usipokuja na gari jeusi la tinted hadi wahudunu wanakuona kama kachumbali tu

    Yaani kuna sura zao tayari washakariri, ukija tu uko simple na gari yako ya kawaida au ukija tuu na mguu wanakuchukulia poa. Mmiliki kama upo humu jamiiforum ebu fanya semina tena na wahudumu wako, una sehemu nzuri sana, una jiko zuri sana ila tayari wahudumu wako wanaambizana kwamba yule ana...
  18. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Unavyonunua gari fikiria na uwezekano wa kupata mteja kama ukiamua kuliuza

    Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa). Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza...
  19. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Kwanini matrafiki wanazikomalia sana gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo?

    Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo iwe imebeba mizigo au haina mzigo wowote ni lazima gari hiyo au toyo hiyo ipigwe mkono. sasa je...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km...
Back
Top Bottom