gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Azim Dewji. Navyomuona ana kitu atafika mbali. Rais Samia mtizame huyu Mzee

    Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali. Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea. Nimemkubali ana mapenzi sana na...
  2. JamiiForums Tanzania Kama mna dada wa kazi nyumbani kuna shida gani akifua na kupika chakula anachokula mume?

    Wazee wa mahaba mpo? Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini? Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
  3. JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  4. JamiiForums Tanzania Games gani hukuzimaliza na kuishia kuzifuta tu kwenye pc au ps yako?

    Sababu ziko tofauti.. Mimi 1. Far cry 6 Hili rasmi nmelifuta leo, sikulimaliza bt sikulipenda nahisi game play yake halivutii kabisa. Gb 100 2. Dying light 2; stay human graphics nzuri ni third personal, bt bora ingekuwa kutumia bunduki sasa ni mwendo malee weapon tu. Lilikuwa na Gb 90+ 3...
  5. JamiiForums Tanzania Radio Banana FM mnashida gani?

    Moshi nadhani inapatikana huko.
  6. JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vya kuzingatia unapoanzisha kampuni ya Usanifu Majengo?

    Kama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)? Napitia comments kwa maoni, ushauri na majibu ya swali nililouliza, Ahsanteni.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forwarding?

    Habari Wana Jf, Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forward mzigo kutoka china hadi Arusha yenye bei iliyo rafiki? Naombeni msaada ikiwezekana na office zao zilipo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nikuandikie nini? Itakugharimu kiasi gani?

    Sio wote tunajua umhimu wa WRITEUPS za kimkakati na kimaendeleo hasa katika kuleta ukamilifu wa WAZO lako. Wengi tuna mawazo mazuri sana kichwani ila yako random..ndipo inapokuja HAJA ya kuandika kimpangilio wenye MANTIKI. Wazo likiandikwa huleta mtiririko sio kwako tu hata kwa wadau wengine...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Unatumia Mbinu gani kuimarisha Usalama wako Mtandaoni?

    Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo; a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically' b. Tembelea tovuti zenye alama ya ‘kufuli’ au zenye 'HTTPS' c. Pakua majalada (files) au Programu Tumizi (Apps)...
  10. JamiiForums Tanzania PICHA: Hii chuma ya umeme iliyoteka mitandaoni ni aina gani?

    Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7. Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na...
  11. JamiiForums Tanzania NI MITAA GANI DAR HAINA MAJINA MAKUBWA LAKINI INA POPULATION KUBWA YA WATU NA BIASHARA ZINAFANYIKA SANA?

    Hello wana jf Natumai wote mko poa sana Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk. Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani...
  12. JamiiForums Tanzania wataalum damu mwilini ikifika kiasi gani inatakiwa kupunguzwa??

    Niliambiwa nina damu 17, nikaambiwa nipunguze sikujibu chochote daktari akajiongeza sijaafiki ila akanitajia dalili kadhaa kuwa nikiziona basi niende wakanipunguzie si nimegoma kwa hiari!!.. chaajabu nilikuja kufatilia nikajua normal damu inatakiwa kuwa 16,sasa mimi kuzidi hiyo moja tu ndo...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu mtu anayejiita Mwijaku, amesoma Vyuo gani?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inapoelekea sijui miaka ijayo ukristo utakuwa na hali gani

    Kila kitu kinachofanywa kwenye makanisa hakuna mpango na kumtukuza Mungu Bali ni mipango ya kibiashara kupata pesa..kwanzia mahubiri yanalenga pesa ,nyimbo ndo usiseme ni zaid ya bongo flavor
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

    Kwa heshima Nawaamkia; Huyu ni binti amehitimu form 4... Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo; Kiswahili C Kiingereza C Uraia C History D Biology C Chemistry F Maths F Fasihi D Geography D Karibuni kwa ushauri
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu huyu anaweza kuwa mnyama gani?

    Mwenye kujua huyu mnyana anijuze tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Kuuliza Hapa NACTE Wana Maana gani?

    Naombeni kuuliza wataalamu je hapa Nacte wameshapokea matokeo ya mwanafunzi au bado au je hii pending inamaana gani?
  18. JamiiForums Tanzania Chombo Gani cha habari cha Kimataifa kinatoa habari za uhakika

    Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana Wanainanga Russia, Parestina, Libya, North Korea nk Lakini katu wanawasifu wahalifu kama Ukraine, Rwanda, Israel nk...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni nukuu gani tu ukiisikia unajua imetoka kwenye filamu gani?

    Without naming a film, what is one quote that gives it away? “Good morning, and in case I don't see ya, good afternoon, good evening, and goodnight!”
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nyie Vodacom ni kitu gani hiki?

    The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe to this service Yaani mtu ana schedule repeated payments kwa namba yangu, na hata hamnipi option ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…