gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii Vita ya Israeli na Irani inayoanza Ina maana Gani Kiimani?

    ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake. Sasa hichi kinachoendelea Kati ya Israel na Iran muda huu, kiliandikwa kitatokea? Au ni ujumbe gani...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi wa Uganda, Gen. Muhoozi Kainerugaba, anapanda mbegu gani kisiasa na anatoa ujumbe gani kwa demokrasia ya Afrika Mashariki?

    C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo. Kupitia akaunti yake...
  3. JamiiForums Tanzania Wazo gani la kwanza ukujia ukikuta mtu au familia imefuga ndege aina ya 'njiwa'?

    Si watu wengi au familia nyingi ufuga hawa ndege jamii ya "njiwa". Mimi binafsi nakuwaga na mawazo tofauti sidhani kama ni mimi peke yangu au na wengine?
  4. JamiiForums Tanzania Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

    mimi siwezi kuvaa nguo ya njano rangi ya njano hapana naona kama ni rangi ya wagogo hii 🤗 weww kwako ni ipi wagogo ni watani zangu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nina 65M nifanye biashara gani?

    Wandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Ninaishi dar na dodoma muda mwingi.
  6. JamiiForums Tanzania Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake. Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
  7. JamiiForums Tanzania Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

    Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante. Your package contains 26000/USD money 4 coverage cameras 2HP computer set 6toshiba laptops 5 iPads 5 Iphone 25 samsung tabs...
  8. JamiiForums Tanzania Speaker za kuchongesha bei gani wakuu

    Tafadhali anaejua bei za speaker za kuchonga saizi ya kati inauzwaje aniambie bei au kama anajua wapi naweza pata, Kuna posho ya maji ya kunywa Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika sehemu ya pembe tatu ya shetani(bermuda triangle)

    Wakuu habari zenu.......... Bila shaka wengi wetu tumekuwa tukisikia kuhusu bermuda triangle sehemu ambayo inapatikana bahari ya atlantic na huwa tunasikia kwamba meli yoyote ikipita eneo hilo basi huwa una uwezo wa kuzama na hata ndege inaweza kuvutwa na kuzama katika bahari hiyo.... Swali...
  10. B

    JamiiForums Tanzania MTWARA:Mtaa gani una nyumba nzuri?

    Kwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga? Maana daah kuna mitaa nimepita kutafuta vyumba mpaka nimevunjika moyo kuhusu kuishi huu mkoa, vyumba havina...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni ofisi gani inatoa ajira bila kupitia utumishi na wana mshahara mkubwa?

    Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada ni app gani huwa mnatumia kutype documents kwenye simu??

    Wakuu kwema. Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV. Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc. Naomba kujua pia changamoto zake na jinsi ya kuzitatua. Nawasilisha.
  13. JamiiForums Tanzania Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka. Hapa kuna baadhi ya mawazo ya biashara unaweza kuzingatia kwa mtaji huo: ### Sekta ya Uchakataji Chakula Utengenezaji wa vyakula...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ili linaweza kuwa tatizo gani ?

    Kikawaida mwanadamu anapokuwa anapitia changamoto Fulani katika maisha yake Ni lazima stress sitawale katika kichwa chake na mawazo ya kutaka kutatumia changamoto hiyo kwa haraka saana na Mara nyingi stress zinazidi kuwa nyingi pale Anapokuwa haoni matamaini ya kutatua changamoto zake But...
  15. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wasanii wa Bongo Fleva: Sikuhizi mnaimba vitu gani?

    📖Mhadhara wa 21: Wakati watanzania wenye akili timamu wanajiuliza hili swali; Tupate wapi njia za kuwanasua watoto wetu kwenye wimbi baya la ubakaji, ushoga, usagaji, na ulawiti? - lakini wanaibuka watu ambao tunawaamini ni kioo cha jamii (wasanii wa bongo fleva) wanakwenda studio kurekodi...
  16. JamiiForums Tanzania NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

    Good morning. Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match. Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!! NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

    Habari wajameni, Sisi low income earner tuko na changamoto sana ya kutaka vitu vizuri na imara at affordable price,, btw kila mtu anapenda vitu vizuri mazee. Sasa basi, ukiachana na brand Tajwa hapo juu, Hisence imekuja kwa kasi sana mtaani na kuonekana ni TV nzuri at affordable price...
  18. JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
  19. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapendekeza adhabu gani kwa mtu ambae ni msaliti wa Nchi ?

    Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo . CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
  20. JamiiForums Tanzania Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…