gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi au mtandao gani unaweza kunikopesha kwa wakati huu?

    Wadau kama kichwa kinavyosema, nimekwama nahitaji angalau 5k nipate lunch, ni site au app gani inaweza kunifanikishia hilo kwa muda mfupi? Naombeni muongozo wadau, jua ni kali tumbo lina mgogoro.
  2. JamiiForums Tanzania SMS gani ukiandikiwa na mtu unakereka

    Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk. Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika xamia xuluhu (samia suluhu), kuna jamaa mwingine anachukia SMS zenye tarakimu/namba mfano 2taonana...
  3. JamiiForums Tanzania NI wilaya gani Tanzania yenye Sifa hizi?

    Natamani Sana nikija kufika miaka kuanzia 40 niishi nnje ya dar kabisa, nataman nipate wilaya yenye Sifa zifiatazo:- *maji Safi *Umeme *Ardhi yenye rutuba *Vyakula vya kutosha *Pawe panalimwa + ufugaji *Panafikika kirahisi kutoka mikoa mingine *Internet ya uhakika Nawaza Sana kuhusu chato...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
  5. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani kwa Sasa unadhani hafai kuendelea kuichezea Yanga?

    Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao. 1. Baleke 2. Dube 3. Diarra 4. Aziz Ki 5. Nkane
  6. JamiiForums Tanzania Mambo Huisha,, Yawe mazuri hata kwa kiasi gani. Binadamu tukubali tu.

    Jambo lolote lile zuri, Unaloliona leo litafika mwisho tu. Tukubaliane na hali ili maisha yendelee. Wanaume tukubali tu. So usiwekeze sana nguvu na mali kwa mwanamke wako hata kama unamuona mzuri na mrembo kiasi gani.. Wanawake msiweke akili zenu na kujikita sana kwenye kuhudumiwa intensively...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalam wa magari nisaidieni, hii ni gari aina gani?

  8. JamiiForums Tanzania Hivi hii kauli ya "ndio hivyo sasa" ina maana gani ukijibiwa na mke wako

    Wakuu, iko hivi: Wife alikuwa na ratiba ya kwenda saloon, kitu ambacho alilazimisha sana. Sikupenda kumzuia, kwa hiyo nikamuelekeza kuwa atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani, lakini ahakikishe anawahi kufunga ili ratiba zingine za nyumbani zisiharibike, maana anapenda sana kupika usiku...
  9. JamiiForums Tanzania Mamlaka za kiafrica ni kama zimelaaniwa. Kulikuwa na haja gani serikali za Equatorial Guinea kuvujisha video za ngono

    Wakuu habarini. Hizi serikali zetu ngozi nyeusi zinapenda sana mambo ya kipuuzi ili kuzima ajenda zao Kwa wananchi Kwa serikali yenye watu wenye akili kulikuwa na haja gani ya kuvujisha zile video za ngono? Walienda kuchunguza kashfa za rushwa? Kwa nini baada ya kukutana na hizo video...
  10. JamiiForums Tanzania Swali la Wiki: Uzushi una athari gani kwenye Siasa za Taifa?

    Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa. Je, athari gani unazozijua? Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
  11. JamiiForums Tanzania Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?"

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  13. JamiiForums Tanzania volkano ya kunduchi - serikali imetoa ufumbuzi gani?

    VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI? Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita! https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ https://youtu.be/RnoqUCZFBYg wataalam wa jioolojia waligundua kitu gani kisayansi? kweli hilo tope linatokana na volcano au ni udongo mfinyanzi tu uliozidi maji...
  14. JamiiForums Tanzania Ziwa Victoria limewahi kukauka maji yote mara tatu

    Hii ina ukweli gani wakuu? ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani. Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Wakinga Wana ajenda gani Kariakoo?

    Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia Iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

    Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40 Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  18. R

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
  19. JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwenye geti la chuo kikuu Cha Cape Town nchini Africa kusini kuna maandish yasemayo" "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. "Ruhusu mbumbumbu waonekane wamefaulu na wasonge...
  20. JamiiForums Tanzania Unaweza kuchukuwa maamuzi gani kwenye situation kama hii

    Mimi ni kijana nimeo nina mke mmoja na mtoto mmoja Sasa tangu nimeoa mke wangu Nimekuwa kama mtu ambaye ametupiwa Pepo la uzinzi Yaani siwezi kupitisha siku mbili au moja na nusu bila kufanya tendo la Ndoa na mke wangu nimejaribu kutafuta michepuko lakini wapi kila nikimuona tu natamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…