gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
  2. JamiiForums Tanzania Miji gani migumu kwa biashara wakuu?

    Kuna maeneo ukianza kufanya biashara uwe na moyo mkuu aisee. ✍️
  3. JamiiForums Tanzania Mshahara mzuri unaanzia kiasi gani?

    Ni kiwango kipi mtu anaweza sema amepata kazi ya mshahara mzuri kwa hali ya maisha iliyopo hapa nchini na kwenye soko la ajira bongo? Wadau wa maokoto ya mwisho wa mwezi tupeni abc
  4. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe?

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Afisa mauzo husomea tahasusi gani kwa level ya advance?

    Habari Wakuu Naomba kuuliza AFISA MAUZO husomea Combination Gan Kwa level ya advance
  6. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Reginald Mengi na Rostam Aziz walikuwa na ugomvi gani mkubwa kiasi cha wao kuchukiana kiasi hiki?

    Habarini, Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo...
  7. JamiiForums Tanzania Vigezo gani kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi?

    Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba? Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3, Azam 1 Kagera Sugar 0 Azam 2 Singida Big Star 1 Yanga 0 Azam 1. Mechi za Simba Pamba 0 Simba 1 Simba 4 KMC 0 Mashujaa 0 Simba 1 Azam mechi 3...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zina maana gani?

    Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam, Nahitaji uhakika wa umeme kwa vifaa vidogo kama laptop, simu, router, n.k. ikiwa kuna mgao wa siku 2, Je itanigharimu kiasi gani ?

    Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2 Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama Smart phone 4 zinazochajiwa mara 2 kwa siku, hutumia lisaa kujaa Router 1 inayotakiwa iwe kwenye umeme muda wote Laptop 1 ya Dell
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa unachagua shule ya msingi kwa ajili ya Mtoto wako unazingatia vitu gani? Ukiachana na performance ya Taaluma?

    Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo. Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa mtoto wangu mwenye umri wa miaka 7 anayetarajia kuingia darasa la 4 mwakani lakini ninampango wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kama Taifa Tunampango gani?

    Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu sana? Pia,tuliona network ikiwa chini kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mitambo chini ya maji...
  12. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

    Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Maeneo mengi nchini yanaripotiwa kutokuwa na Umeme, kuna shida gani huko TANESCO?

    Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani, katika ofisi, hadi majumbani. Kutoka mitandao ya kijamii hadi vyombo vya habari, wananchi wameendelea...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  15. JamiiForums Tanzania Huyu ni mdudu gani?

    https://www.facebook.com/reel/464181673365101
  16. JamiiForums Tanzania Mbinu gani zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia?

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na...
  17. JamiiForums Tanzania Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

    Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
  18. JamiiForums Tanzania Maadili tunayoyaamini yanatokana na kitu gani?

    Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili. Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa. Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake? Kwani Baba, mama, kaka au dada, si...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kipimo gani cha ubora katika ndoa

    Habari zenu wanajamii forums? Mimi nataka kujuwa kitu kimoja kutoka kwenu nduguzanguni. Kuna msemo ambao wazungu wanapenda kusema pale wasipo kuwa hawana uhakika na kitu. Mara nyingi husema "time will tell " wakiwa na maana mda utasema. Sasa swali langu ni hivi je katika suala la ndoa mda...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…