gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto...
  2. JamiiForums Tanzania Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha au anakosea?

    Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha ama anakosea? Tazama Video👇
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

    Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
  4. JamiiForums Tanzania Challenge ya picha: Ni picha gani unaitafuta bila mafanikio

    Niambie nikuwekee hapa chap! Zingatia maadili.. Zisizofaa sitapost
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

    Wakuu twende kwenye point 👉 iko hivi mara nyingi mimi huwa naota nipo shule yaani O-level, unakuta hata shule tuliyopo no ya Msingi lakini wanafunzi tuliyopo hapo ni wale niliyosoma nao sekondari na hii hutokea mara nyingi tu hata muda mwingine shule inaweza kuwa tofauti, lakini watu niliosoma...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

    Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi? Unafanya nini kustahimili muda mrefu?
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa matumizi ya dawa hizi

    Hizi dawa zinafaa kula ukiwa unaumwa na kichwa?madoctor karibuni
  8. JamiiForums Tanzania Ni PC gani nzuri kati ya hizi mbili? HP spectre 2 in 1 au Lenovo Yoga 2 in 1

    Ni PC gani nzuri zaidi kati ya hizi mbili?
  9. JamiiForums Tanzania Manabii wana faida gani katika nchi yeti?

    A
  10. JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Ni hospitali gani kwa hapa Dar es salaam yenye Gynecologist wazuri?.

    Habari za asubuhi wanamjengo, hapa wala sitakuwa na maneno mengi twende moja kwa moja kwenye mada hapo juu . Nina shida na hospital ambayo ina huduma nzuri za madaktari bingwa wa wanawake zilizopo dsm bila kujali ni hospital binafsi au za umma. Mwenye uzoefu na hili anijuze asante.
  12. JamiiForums Tanzania Ulichukua hatua gani? ulipo alikwa halafu ukateleza kwenye matope

    Umealikwa mtaani penu Kuna shughuli umbali wa km 1 kutoka kwenu unatembea kwa miguu mara baada ya mvua kuisha, kwa bahati mbaya wakati unakaribia kwenye tukio ukateleza na kukaa chini topeni nguo matope yamejaa, ulifanyaje?
  13. JamiiForums Tanzania Zulia jekundu ! Red carpet ina maana gani?

    (RED CARPET) Zulia Jekundu: Njia ya Kafara, Hatima, na Mabadiliko Zulia jekundu, mara nyingi linavyoonekana kama alama ya hadhi na fahari, lina maana ya siri iliyo mizizi yake katika kafara, hatima, na mabadiliko. Zaidi ya mvuto wake wa kifahari, linawakilisha ibada za kale, mafundisho ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

    .
  15. JamiiForums Tanzania KUNA MAONI GANI KUHUSU WANAFUNZI WA VETA KUPEWA MKOPO

    Mimi kwa mtazamo wangu wanafunzi wa VETA wapewe fedha za kujikimu na Ada pia . Wewe je?
  16. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  17. JamiiForums Tanzania Tujadili Simba ina ukubwa gani mbele ya Yanga

    Mpira ni Makombe na sio rekodi za points, Simba huo ukubwa mnaojipaga mbele ya Yanga mnautoa wapi? Hua najiuliza tu. My favourite player Ronaldo ana magoli Mengi kuliko mchezaji yeyote alie active now ila magoli yale tunashindwa kuyatetea bila Kombe la dunia bila Balon dor za kutosha mbele ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ni wachambuzi gani wa soka hapa bongo unawaelewa zaidi?

    Ingawa wengi wao ni uchambuzi maandazi ila kuna huyu mwamba alieopo azam Na huyu kijana aliepo east africa Atleast wapo logically and un-biased
  19. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani limewahi kukustaajabisha ama uliliona la ajabu

    Naanza na mimi kuna wakati nilikua safari kutokea Same nikielekea Arusha nilipanda coaster na kupata siti ya nyuma kabisa na sababu yenyewe nikwamba tulikua wawili hivyo tulipendelea kukaa pamoja mbele yetu kulikua na siti ya watu 2 ambayo yadirishani mtu alikaa ikabakia hiyo ya mwanzo. Mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania 12 BLOWJOB NI KITU GANI?

    Mwenye picture ya hiyo blowjob aiweke hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…