gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

    Moja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue . ------------------------------ Binafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja gani ya Nchi kuwa na wabunge? Je, Haiwezekani nchi kuendelea bila wabunge?

    Nashindwa kuelewa kwani lazima kila kitu tuige nje, binafsi mimi kama mimi sioni tija yoyote ya kuwa na wabunge kwenye hii nchi zaidi naona ni mzigo tu wabunge 400 nchi hii wa kazi gani? Inabidi tupungize matumizi yasiyo na lazima ili tuelekeze kwenye maendeleo mengine Kama kuna faida za...
  3. JamiiForums Tanzania Ni wajumbe au ni vikao gani vya chama wa/vinaochagua viongozi wa sekretarieti kuu ya chama cha chadema?

    Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha? Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Mameneja wa bar, wamiliki wa majiko DSM muna shida gani?

    SHALLOM. Nipo Dar kwa muda Kidogo ila kuna kitu kinanishangaza sana hasa kwa Dar maeneo ya wilaya ya Ubungo na maeneo mengine kuhusiana na suala zima la Uuzaji wa Vyakula hasa nyakati za asubuhi. Ukipita Maeneo mengi wanayouzia KIfungua Kinywa kama Supu au mtori na n.k unakutana na Vituko sana...
  5. R

    JamiiForums Tanzania kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha wanyama pori kuliko kilimo, mifano ya kozi Science in Wood Technologies Agricultural Engineering...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Aina Gani ya Watu Wanatakiwa Kufanya MATANGAZO YA KULIPIA? (Meta Ads – Facebook & Instagram)

    1. WAFANYABIASHARA WADOGO Unauza nguo, viatu, chakula, vipodozi, electronics, 👉 Kama unataka kuuza zaidi ya watu wa mtaa wako, unahitaji matangazo ya kulipia. 🟢 Ads zitakusaidia kufikia maelfu ya watu wanaohitaji bidhaa zako, unaweza kufanya hata bila kuwa na duka! 2. MACHINGA & MADALALI Wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Je inachukua muda gani hadi account kua banned?

    Ukipokea pesa ndefu kutoka nje ya nchi like USA as a remmittance money mfano 100+million TSh . Inaweza chukua muda gani hadi account wakaiban ? Je mtu anaweza fanya someexpenditure kabla hawajaiban? Je unaweza kuspend like 20m then ukareport account? 😁😁 Msije sema bangi wakuu lete...
  8. JamiiForums Tanzania Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?

    Wakuu! Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?
  9. JamiiForums Tanzania Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi, niliibiwa

    Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa jamii gani nchini inaongoza kwa wasomi muumalize wenyewe, ingieni humu mjihakikishie wenyewe, kelele na kujisifu viwekwe pemebeni

    Muumalize wenyewe
  11. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu Katrina, anaiwakilisha nchi gani kwenye bunge la umoja wa ulaya?

    Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa. Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji na kulinda demokrasia na haki za binadamu. Aliingea mengi ila mwisho alisema watanzania wanaoteswa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume gani maarufu mwenye hamasa wa kugombea urais 2025?

    Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025. Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini. Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa. Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani...
  15. JamiiForums Tanzania Export Rate ya Uganda huko EU imefika 60% je, ya Chawa Country imefikia Kiwango gani? Njoo mtudanganye sasa

    Na vitu vilivyowapaisha Uganda ni kama vifuatavyo ... 1. Coffee 2.Fish 3. flowers 4. Vegetables
  16. JamiiForums Tanzania Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

    Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
  17. JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

    Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema. Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu, •Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo hao waliokudanganya issue ya Wachina Kariakoo nani, na wamechukuliwa hatua gani?

    Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kabila gani linachakaa haraka hapa Tanzania ??

    Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa.. Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo, ila nasikia...
  20. JamiiForums Tanzania Hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zina athari gani kwa Tanzania? Tumetoa nini nyuma ya pazia?

    Wakuu, Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo; 1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…