gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

    Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa ilikuwa lazima nivute nifike baada ya wiki 1 au 2 2. Kutochomekea shati Hapa hata ungeniua nisingeweza...
  2. Baada Dramacool na baadhi ya tovuti kufungwa. Ni tovuti gani unaweza kupakua (download) Korean Drama bure

    Wadau wa Korean Drama kwasasa ni tovuti gani zimebaki ambazo unaweza pakua bure. Tovuti ambayo inakuwa na high quality. Nkiri iweke kando Kwanza ina low quality na Drama nyingi hakuna
  3. Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?

    Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata, nikamwambia auache. Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harufu isiyovutia. Punde Majirani wakawa wanaambiana Kwa Siri kwamba Kwangu Siyo Mahali pa mchezo, Pana ulinzi mkali. Nikachunguza...
  4. Mtu ametapeli na namba yake ipo hewani je? Kuna ugumu gani kukamatwa?

    Kuna mtu amekwapuliwa simu na mtu waliyekuwa wanadaiana ripoti ipo polisi tayari ila leo ni siku ya pili namba akipigiwa anapokea naomba kujua Kuna ugumu gani wa huyu mtu kukamatwa na anatumia smart Pesa yake alitumiwa yote iliyobakia 50k je polisi hawawezi mpata au ndo mpoka chochote mkononi...
  5. M

    Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae. imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
  6. Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo yataniitaji niwe mtu wa kusoma kila siku kitu ambacho nakichukia sana ivyo nikaamua kuipiga chini nikageukia...
  7. Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  8. Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  9. Wakuu hili jengo linaweza gharimu kiasi gani kuanzia msingi hadi kuezeka bila finishing?

    Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na vyumba 5. Makadirio ya gharama vipi kuanzia kwenye msingi hadi kuezeka bila finishing? Yaani bila...
  10. W

    Huwa unazingatia vitu gani unapotumia Mitandao ya Kijamii?

    Mitandao ya kijamii siyo tena sehemu ya kujipost tu au kufanya mawasiliano na watu. Kuna fursa mbalimbali zinazojitokea ukiamua kufanya maamuzi sahihi ya Mitandao kama vile kufanya biashara, kuwa "influencer" au "content creator" KANUNI AU "ETIQUETTES" ZA KUZINGATIA UKIWA UNATUMIA MTANDAO...
  11. Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

    01.Ufundi Bomba 02.umeme wa magari 04.udereva 05.Fokolift 06.welding Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
  12. Jaman wadau hii printer unaweza kuwa bei gani?

    hii ni canon mp250 all in one Kwa bei inaweza kua ngapi? Na nikiyakanyaga inaweza uzika Kwa haraka?
  13. R

    Ni kwa muda gani mrefu zaidi ulitumia kutongoza

    Kwetu rika la 30 na kuendelea sisi kipindi chetu kufukuzia miezi ilikuwa ni kawaida sana maana hakuna simu na kumfatilia ni kwa makadirio unajiweka njia anayopita waweza kesha hadi usiku hapiti kumbe yupo kwao. Nakumbuka niliwahi kukutana na binti flani haikuwa rahisi kumpata, nimeshawahi...
  14. M

    Wapalestine wanavyolufa maelfu elfu, ukiwaambia leo eti kuna Mungu gani, watakukula nyama!

    Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe! Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu Je, haoni...
  15. Eti wakuu hapa ungetumia njia gani ili unusuru hii mali

    #RudiniMashambaniKuoa
  16. J

    Vikundi/ vyama vya KUFA na KUZIKANA vinaleta ustawi gani katika jamii?

    Utamaduni ni jambo ambalo linanguvu saana, Hata wataalamu wa mambo ya kijamii wanasema ili uweze kubadilisha utamaduni wa sehemu fulani inaweza kuchukua hata miaka 50. Katika jamii zetu kumekuwa na desturi au kaida za kuisaidiana katika Sherehe mbalimbali kama harusi, birthday, vipaimara...
  17. A

    Airtel mna tatizo gani kuanzia saa 9 jioni baadhi ya maoneo video hazichezi

    Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka katika kazi ngumu tunataka tuangalie movies lkn haturuhusiwi shida nn,au kodi imetosha
  18. Hivi nyie mnajijuaje kua ni Extrovert cjui Introvert, binafsi niseme tu mie sijui nipo kundi gani

    Naiona ona sana mijadala hii me nashindwa kujidiscribe kiukweli....nisaidieni on my behalf me napenda kukaa ndani (nmepanga self) mambo yooote namalizia ndani nikitoka nje kutafta vya kupika tu😂 km Nina vitu vya week bc sitoki ndani iyo week yote Sina rafiki biashara zangu nazikagua mwisho wa...
  19. Marekani ina shida gani na Iran na Korea Kaskazini ?

    Ningependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu. Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini tawala mbalimbali za Marekani zinayatendea haya mataifa kama tishio kwa marekani ? Maoni yangu binafsi...
  20. M

    Mke wangu amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau, ni namana gani naweza kuvunja ndoa?

    Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma, Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia. Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…