gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Huduma gani unahitaji ya IT? website, computer,blog,social media,n.k

    Huduma gani unahitaji ya IT? Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

    Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
  3. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka. Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
  4. Shuku_

    JamiiForums Tanzania MANANASI na MACHUNGWA yanauzwa bei gani ya jumla huko kiwangwa?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze. Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
  5. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kuoga kuna faida gani?

    Wakuu tangu niko mdogo nimezoeshwa kuoga kila siku ila sijawahi kuona faida yake Vipi kama nisipooga nitanuka halafu baada ya miezi harufu itakata na sitanuka tena. Si itakuwa niko huru maishani mwangu. Nakuwa sihitaji kuoga tena. Kwani uchafu ukizidi kwenye ngozi kuna madhara gani ya kiafya...
  6. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

    Kama inavyosomeka hapo juu Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu. Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na...
  7. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Hivi paka Dar wana shida gani? Yaani paka anakimbizwa na panya?

    Hii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa 🤣, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona. Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

    Hivi ni kweli kuna kiumbe ambacho kinaongoza kujidhalalisha chenyewe alafu tena kilalamikia matokeo yake🤣
  9. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani mabosi wengi kutokutaka kukaa ofisi

    Hili jambo nimeliona kwa muda mrefu mabosi wengi wenye maduka kutopenda kukaa ofisini duka kubwa lakini boss haoni hofu yoyote kuwaacha vijana hata mwezi mzima bila wao kukaa dukani Wapo wanaokaa madukani lakini kijana ndiye anawaachia kuhudumia wateja na kupokea pesa Huu ni mfumo tofauti na...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tuliopitia jeshini: huyu mpiga bugle ya Last Post utampa adhabu gani?

    Makamanda nipeni mrejesho. Mpiganaji kazikwa bila heshima.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ana mtaji wa wa Milioni 30, unamshauri afanye biashara gani?

    Dada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ni style gani ambayo wanawake huwa wanaiogpa?

    Wakuu,kidumu chama cha Mapinduzi? Hivi ni style gani ya kugegedana ambayo wanawake huwa wanaiogopa sana?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Katuni hii ya Rais Samia na mzee Kikwete inakupa picha gani ?

    ?
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania Huyu kuku atakuwa na shida gani??

    nimemfanyia physicl assessment nimepata ivi Kazubaaa Hali chakula Anasingiasingia Anajitenga na kuku wengi Manyonya kuvurugika Mabawa yake yanalegea Msaada wa kitaalamu kuhusu tiba yake hasa tiba asilia mnipe muongozo wakuu
  16. Montania

    JamiiForums Tanzania Sala au maombi gani ambayo uliwahi kusali yakaleta matokeo tushirikishe

    Kama wewe ni Mkristo mkatoliki ni sala, Novena, Rozali au uliwahi funga kuombea kitu na kikafanikiwa? Mfano kwenye kuomba kazi, mke au mume au masomo n.k tushirikishe Pia madhehebu mengine karibuni kushuhudia kulingana na MUNGU alivyokutendea.
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

    Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out. Hii ndiyo msg yake. Nitaongea mengi ya kusikitisha. Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao. Ugomvi wao ulikuwa yule...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Madaraka haya madaraka! Sasa hapa ni imani gani? Uislamu - Ukristo? Kisa Ikulu!

    AMEN, BWANA ASIFIWE
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hivi vioo vina matumizi Gani kwenye gari?

    Wasafwa husema kwenye wengi pana mengi, na kujifunza hakuna ukomo na wala hakuna ajuaye yote. Hata Erica Lukomo Kakuyu aliendelea kujifunza hadi dakika yake ya mwisho kabla ya kutwaliwa. Kwenye mabasi ya Toyota Coaster Kuna kioo kinaning'inia juu kwenye kioo kikubwa cha nyuma, je ni nini KAZI...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
Back
Top Bottom