gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fuatilia huyo mchumbaako wa kike ana/alikuwa na mahusiano gani na Babaake. Kwa sababu future yenu ipo hapo

    Hamjambo! Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu. Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake. Asilimia tisini na tisa Wanawake ambao ni Wife material wana uhusiano bora na Baba zao. Wanapendwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki gani walifunga?

    Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu. Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ? Au wakifunga vipi ? Au ilikuwa kutisha nyau?
  4. JamiiForums Tanzania Issue gani mtu akifanya South Africa anatoboa?

    Ukiachana , na kuuza Skanka , je MTU akifanya issue gani anatoboa SA.?
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Ujumbe gani Tunaupeleka kwa Wafadhili na Wadau wa Maendeleo?

    Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua. Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali...
  6. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  7. JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
  8. JamiiForums Tanzania Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

    Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
  9. JamiiForums Tanzania Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  10. JamiiForums Tanzania Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

    Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe?? Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
  11. JamiiForums Tanzania Nataka nichape rafiki wa mchepuko wangu,nitumie mbinu gani?

    Wakuu,hamjambo? Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

    Ciao.. Kuna ile dhana ya jamii kuchukulia kitu fulani kama hakifai ila kwako unaona kawaida. Kwako ni kipi cha ajabu kati ya hivi? 1.binafsi naona kawaida 2. Hii kwangu ni ajabu hasa kwa mwanaume 3. Binafsi sipendi mawigi 4. Hii kwangu ni ajabu 5.binafsi kuwahi kuamka bila sababu ya msingi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Kwa haraka haraka ninavyovijua mimi ni 1. First AID Kit 2. Asali 3. Mzani 4……………
  14. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

    Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana. Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje? Wataalam...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  16. JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani kati ya hizi ilisumbua sana kimataifa?

    Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
  17. JamiiForums Tanzania Ni wana JF gani kutokana na harakati zao humu wanatiki vielelezo vifuatavyo?

    1: PLAY BOY 2: MTU WA SYSTEM 3: MTU WA AMANI (CHILL BOY/CHILL GIRL) 4: MPENDA BATA 5: DADA WA MJINI 6: KAUKA NIKUVAE 7: NGUMI NJE NJE 8: PESA MAKARATASI 9: MZEE/MAMAA WA CHAI 10: CONFUSED
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  19. JamiiForums Tanzania Kulikua na haja gani ya kuiita INEC wakati inaitegemea NIDA?

    Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba. Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya...
  20. JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ? NIDA ijitegemee INEC ijitegemee Banki ijitegemee NECTA ijitegemee RITA ijitegemee TRA ijitegemee TUCTA ijitegemee Utumishi Ijitegemee Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima. Leo unatumia Google play store kusajili Facebook...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…