gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu. Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
  2. JamiiForums Tanzania Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

    Wakuu. Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika. Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri. Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania AI gani nzuri kutengeneza video na picture ?

    Habari ya mwaka mpya Naomba kujua AI gani nzuri kutengeneza video na picha zikawa km OG
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  7. JamiiForums Tanzania Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

    Najaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.? ukiachana na kujilimbikizia mali na kula sadaka za wahumini je upi mchango wa dini?.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Je, kuna uhusiano gani kati ya madaraka ya Urais na kuzeeka mapema?

    Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026. Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha? Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Yaani sijui nina gundu gani, kila demu nikitongoza nakataliwa

    Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani ambayo Marekani imewahi kuwapelekea na kuwalazimisha ushoga?

    Kuna wapuuzi wanadhani hatuna akili kama wao. Tunapolalamikia ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala mbovu usiofuata misingi ya sheria, ubadhilifu wa mali za umma, rushwa, utekaji na mauaji ya watanzania wasio na hatia, wanatuambia Marekani na "wazungu" wakishirikiana na baadhi ya watu waliopo...
  11. JamiiForums Tanzania Kipindi unajitafuta, michongo gani ulikua unapiga ili kujikimu kimaisha?

    Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi. Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni -Kuuza bando mtandaoni -Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto ) -uwinga (hii ilinifungulia milango mingi...
  12. JamiiForums Tanzania What a blow! What a shame! Ni aibu gani hii..?

    It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata! Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu! Hasira za TK sijui ataangushiwa nani!?😭🤣😎.. Sikusikia wakiulizwa who are you? badala yake nilichokiona ni who are me? TK kawaweza halafu...
  13. JamiiForums Tanzania JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  14. JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  15. JamiiForums Tanzania Toka ulivyoanza kubeti Umepoteza kiasi Gani Cha fedha na umepata kiasi Gani mpaka sasa

    Leo baada ya kupunwa na khanji ka laki kangu na kale katimu nikaamua niingie tu site nijue nimeliwa shingapi na kula shingapi ili nifanye maamuzi Nimeanzia kubeti 2019 mpaka kufikia siku ya Leo nimepiga tasmini ya faida na hasara ya huu mchezo Hesabu niliyoipata lost tsh 1,353090/= milion...
  16. JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  17. JamiiForums Tanzania Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
  18. JamiiForums Tanzania Ni neno gani la Kiingereza linalokupa shida kulitaja?

    Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa usahihi? 😊 Mimi neno linalonipa shida ni “entrepreneur”.
  19. JamiiForums Tanzania Je ni kampuni gani bora za KUBET kwa sasa hapa Tanzania?

    Naomba wawekezaji wazoefu mnisaidie kampuni bora kwa sasa ya betting Tanzania. Uniambie na sababu.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni kwamba, baada ya mauaji ya Oktoba 2025, hata muongee maneno mazuri kiasi gani, ICC ya The Hague inawasubiri!

    Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho. Anzeni kujipanga kwenda kwenye kesi, na hata kutangaziwa International Arrest Warrants. Ushahidi upo wa wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…