Haya mambo yana faida gani mbele ya Rais?

Haya mambo yana faida gani mbele ya Rais?

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,197
Reaction score
58,367
Wakuu!
Haya mambo pichani yana faida gani mbele ya raisi? Au yana tija gani kwa taifa letu?
Sawa tunaweza kusema tunaenzi Utamaduni wetu, lakini kwanini tuenzi Utamaduni wetu mbele ya Raisi?

Kila kabila lina namna ya kufanya mambo yake ya mila na tamaduni zake. Haya mambo pichani yanaonyesha hadharani mambo ya Kishirikina.

Sijui tunaelekea wapi yaani mambo kama yanaoneshwa hadharani mbele ya Mkuu wa nchi. Kwa faida gani na kwa sababu gani?
FB_IMG_1750493078019.jpg

FB_IMG_1750493072999.jpg
 
Kuhalalisha matumizi ya budget ya shughuli husika.

Usistaajabu hapo imekatika milioni 300 (kimaandishi) kulipa hao wacheza sindimba.
 
Ukireta usomi sana na dini sana unakua mpumbavu na ndo
Maana wasomi na washika dini wengi ni maskini wa akili na fikra

Sasa ww mleta uzi ni mjinga na ni mshamba km utaki tamaduni na mila zako ww ni viazi

Na tusipende kutafuta ubaya kwenye kila kitu vingne achana navyo vipite
 
Huo ni ujinga wa jitu jeusi Wala sio mila
 
Kuna awamu iliharibu hii nchi kabisa, ilileta vitu vya ajabu sana.
 
Ni sawa na kuuliza mwenge unafaida gani?Mwenge ni tambiko la kuwapumbaza watanzania waendelee Kuwa misukule
 
Hapo kwenye makaratasi itakuwa imeandikwa gharama za burudani na vitafunio, dili za watu hizo mkuu.
 
Mzee baba, umesahau kuwa alipewa cheo vha chifu mkuu?

Nadhani utakuwa unafahamu uhusiano wa machifu na ulozi...

Wakuu!
Haya mambo pichani yana faida gani mbele ya raisi? Au yana tija gani kwa taifa letu?
Sawa tunaweza kusema tunaenzi Utamaduni wetu, lakini kwanini tuenzi Utamaduni wetu mbele ya Raisi?

Kila kabila lina namna ya kufanya mambo yake ya mila na tamaduni zake. Haya mambo pichani yanaonyesha hadharani mambo ya Kishirikina.

Sijui tunaelekea wapi yaani mambo kama yanaoneshwa hadharani mbele ya Mkuu wa nchi. Kwa faida gani na kwa sababu gani?
View attachment 3377544
View attachment 3377547
 
Ingekuwa yamefanyika mbele ya yule ropo ropo
Ungesikia "wasukuma waonyesha tamaduni mbele yake" "wasema na kukiri wapo tayari kuungana naye"

Kwa sababu ni mh. RAIS, ndo tunategemea andiko la kijinga kama hili..

"utamaduni ni mojawapo ya vitambulisho vya watanzania"
 
Njia za kulienzi na kulijenga taifa.
1.kulinda maliasili za taifa
2.kuendeleza tamaduni,lugha,mavazi nk
3. Kuheshimu na utambulisho wa taifa,bendela,mwenge wa uhuru nk
4. Kuendeleza rasilimali kama vile ardhi
5. Kuchagua viongozi bora wa kulitetea na kulilinda taifa dhidi ya maadui.
6.kufanya kazi kwa bidii.
7.kupigana vita dhidi ya maadui wakuu wa taifa hasa aliowataja mwalimu nyerere,ujinga,maradhi na umasikini.
 
Mleta uzi unazingua sana, huna tofauti na zile raia zinazotoka kijijini zikafika town zinaanza kujidai hazijui kuongea kikabila chao.

"Jasiri haachi asili"
 
Ukireta usomi sana na dini sana unakua mpumbavu na ndo
Maana wasomi na washika dini wengi ni maskini wa akili na fikra

Sasa ww mleta uzi ni mjinga na ni mshamba km utaki tamaduni na mila zako ww ni viazi

Na tusipende kutafuta ubaya kwenye kila kitu vingne achana navyo vipite
SIMPENDI MGENI RASMU LAKINI KWA HERUFI KUBWA NAKUUNGA MKONO.
 
Sasa si wanamwonyesha mwenzao shida iko wapi,hivi unadhani unaweza kaa jumba jeupe kama si kigagula
 
Back
Top Bottom