gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Vyama Mamluki ni Vyama Gani!

    Katika hotuba ya Mh. Lisu kufunga mwaka, iliyosheni mambo mazito yanayowagusa watanzania wa nyanja zote, amezungumzia vyama mamluki ambao wanashirikiana na CCM kufanya uhuni ndani ya taifa letu hasa kutaka kuleta usanii kwenye swala la katiba mpya. Je hivi vyama mamluki ni vyama gani?
  2. JamiiForums Tanzania Tukio gani hautolisahau mwaka 2021?

    Naam Wakuu nadhani baadhi yetu tukiwa sehemu mbali mbali za dunia au nchini tulijaribu namna moja kuvuka kutoka 21 kwenda 22. Kila mtu akifanya kwa namna yake Kama lengo la kichwa hapo juu ni tukio gani lilikunyoosha mpaka kufikia hatua ya kutolisahau au ni tukio gani ulikutana nalo lilikuinua...
  3. JamiiForums Tanzania Mapenzi sio poa kabisa: Ulichukua muda gani kurudi kama zamani?

    Vipi imewahi kukutokea hii, yani ulikuwa unampenda sana mtu Then hakukuoa/hakuolewa na yeye. Akaja akaoa/akaolewa na Mwingine kabisa? Kuna vitu vinaumiza sana sio siri.
  4. JamiiForums Tanzania Tukio gani la kimichezo hutolisahau kwa mwaka 2021?

    Tukiwa tunaaga mwaka 2021, sio vibaya tukakumbushana matukio ya kimichezo yaliyotikisa mwaka, tukio lipi la kimichezo hutolisahau mwaka 2021?
  5. JamiiForums Tanzania CCM shtukeni, TANESCO wanatuharibia

    Chuki iliyopo mtaani kuhusu Tanesco kukata umeme hovyo ni kubwa na inatisha! Shughuli nyingi za kujikwamua kiuchumi hasa kwa vijana mfano Saloon, uchomeleaji wa vitanda, milango na madirisha unakwamishwa kwa kiwango cha kukatisha tamaa. CCM lisimamieni hilo kwa kuwataka wateule wanaohusika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

    Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani. Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani. Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kusoma elimu ya juu wakati unakuwa mzigo kwa wazazi na serikali?

    Kijana unatumia Miaka 17 kutafuta elimu na kujiongezea maarifa lakini baada ya kumaliza muda huo unasubiri serikali ikupe ajira. Wewe ambaye unasubiri kuajiriwa nakuuliza je hukuwa na pan B? Kama huna elimu uliyopata imekusaidia nini? Wale uliotoka nao darasa 1 wakaishia katikati leo wana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tulieni - Kuna ubaya gani Raisi kujadiliana kupingana na wenzake ???

    Mbona watz mnakuwa watu msioeleweka kivile. Yule mlimwita Baba Haambiliki ,Magufuli hasikilizi ushauri na sasa mkipata aliekubali kukoselewa ,nafikiri huwaga mara nyingi hugusia yupo tayari kukosolewa bado kwenu imekuwa shida,akitokea mtu kumkosoa au kwenda kinyume na Raisi mnapiga makelele na...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  10. JamiiForums Tanzania Je utanunua Mkoa gani iwapo Tanzania itauzwa kwa Mnada?

    Tuchukulie kampuni ya McHugh & Co ya London UK wamepewa deal na Bunge la Tanzania waiuze Tanzania yote.......wauze mkoa kwa mkoa hadi nchi yote iishe. Je wewe kama una hela ungenunua mkoa upi?
  11. K

    JamiiForums Tanzania World Vision kuna tatizo gani, mbona wanatangaza kazi zilezile kila wakati?

    Hawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi. Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
  12. JamiiForums Tanzania Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

    Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
  13. JamiiForums Tanzania Dereva Gani ana makosa hapa?

  14. T

    JamiiForums Tanzania Paving blocks zimefubaa mno. Je, nitumie rangi gani ziwe mpya?

    Wakuu naombeni ushauri wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya?
  15. JamiiForums Tanzania Wasanii Wanatumia Program Gani Kuweka Wimbo Unaimba Huku Kama CD Inazunguka na Equalizer Zinapanda na Kushuka Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka. Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada:ni app gani inatumikaga kudukua website

    Jamani kama kichwa cha habari kivyo jieleza
  17. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Chato kipo eneo gani huko wilaya ya Chato?

    Mwenye uelewa kilipo chuo tajwa hapo juu tafadhali . Pia mwenye kufahamu aina ya kozi zitolewazo na chuo hicho na gharama za masomo. Niwatakie Xmas Njema
  18. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kimaisha Kati ya krismas ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita?

    Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mshambuliaji aina ya Kibu Denis unaonyesha kwasababu gani Simba wanapata tabu kupata matokeo.

    Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unadhani huyu Meya wa Manispaa ya Moshi hapa alikuwa anawalenga hasa 'Wageni Wasafiri' kutoka Mkoa gani?

    "Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…