gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Document gani ulikutana nayo kwenye vifungashio vya karatasi?

    Ndani ya mwezi huu wa sita, nimekutana na document mbili. 1. Transcript ya mwanafunzi wa UDSM, ni copy na inaonekana labda alituma mahali kuomba kazi, amemaliza mwaka 2022, chaajabu imegengenezewa vifungashio vya karatasi. 2. Karatasi ya mtihani ya mwanafunzi kutoka chuo fulani,( nakihifadhi)...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Samsung aina gani inabamba kwa Sasa mitaani huko mjini?

    Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama, Ni aina gani ya Samsung. Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano gani kati ya kanisa na serikali?

    Nilimsikia Padre Kitime , akiongelea suala la Bandari , alisema siku za nyuma Rais hayati Benjamin Mkapa alipotaka kubinafsisha shirika la ndege , kanisa lilimuita mbele ya baraza la maaskofu na kumkarisha . Hii kauli ya "Kumkalisha kwenye kigoda" ina maana zaidi ya kawaida. Ni kweli serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari. JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kujua ni Jinsi Gani na Kiasi Gani WaZanzibari Wanautaka na Kuufaidi Muungano

    Leo hii waletee habari ya kuuvunja huo Muungano. Akina Jussa wanajirusharusha huko pembeni wakicheza sinema chovu, lakini husikii wakihimiza Muungano uvunjwe. Kama paliwahi kutokea fursa nzuri ya kuuvunja huu Muungano, , hapajawahi kuwa kama ilivyo sasa, wakati ambapo mZanzibari yupo...
  6. JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani vimetumika kustaafisha jezi namba 20 Simba?

    Mkude amefanya nini la maana Simba Sports mpaka jezi namba 20 aliyokuwa anavaa kustaafishwa? Sijaona Barcelona wakistaafisha jezi ya Messi, Man Utd wakistaafisha jezi ya Giggs au Ronaldo? Ac Milan wamestaafisha jezi namba 3 ya Maldini kwakuwa alifanya makubwa sana ndani ya Milan akiwa kama...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati gani bunge la Tanzania lilikuwa bunge?

    Kuna malalmiko, kuwa siku hizi bunge si bunge. Ni afadhali la miaka ya nyuma. Kuna minong'ono, kuwa bunge la sasa ni mfano tu wa bunge, kwa maslahi ya watawala. Hata wengine wamediriki kutamani bunge livunjwe. Kwani ni wakati gani bunge la Tz lilishawahi kuwa bunge? Inasemekana, kuna wakati...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna tofauti kati ya mtalaka aliyezaa na mshale wa speed: Hata utembee nae speed gani kuna mahali tu mshale utarudi zero

    Kuoana na mtalaka yataka moyo sana! Yaani hakuna tofauti na mshale wa speed! Jaza mafuta mengi, tembea ujuavyo lakini mashimo kidogo tu lazima mshale urudi chini! Maisha ya mtalaka mnapoanza safari ni matam sana! Lakini kadri mnavyokwenda taratibu ndiyo unagundua kwanini ulimkuta single! Hata...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ungependa kuongozana na mkeo akiwa katika mavazi gani?

    Ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
  10. JamiiForums Tanzania Kiwango gani unatakiwa uwe na current na sio saving account?

    Wajuvi hasa wa bank, ni kwango gani cha pesa ni limit ya mtu toka kwenye savings account na kwenda current account? kuna mtu kaniuliza swali na mimi sio banker.
  11. JamiiForums Tanzania Chuo gani cha afya ni kizuri kusoma Diploma ya Clinical Officer?

    Tafadhali rejea kichwa Cha habari tajwa hapo juu. Nina mdogo wangu amemaliza form four anataka aende kusoma diploma ya C.O, je chuo gani ni kizuri nimsaidie kuapply? Namaanisha uzuri wa mazingira ya ufundishaji na pia ufaulishaji. Nasikia vyuo vya government ndio hufaulisha kuliko private je...
  12. JamiiForums Tanzania Una jambo gani la matumaini la kuwaambia watu waliokata tamaa kabisa?

    Naanza mimi hapa. Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote. Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na...
  13. JamiiForums Tanzania Parcel from UK to Tanzania. Kampuni gani inasafirisha haraka?

    Wasalaam, Title yajieleza. Kampuni gani kusafirisha parcel/package kutoka Uingereza (UK) kuja Tanzania? Kampuni yenye unafuu wa gharama. Apart from kina DHL, sijuwi FEDEX, na mapapa wenzao.
  14. JamiiForums Tanzania Application Gani Inaweza Kukusaidia Kuangalia Salio Line Ikiwa Kwenye Modemu

    Kichwa hapo juu chaeleza, naomba anayefahamu app yenye uwezo wa kuangalia Salio line ikiwa kwenye modemu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

    Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa.. Yaani kila...
  16. JamiiForums Tanzania Ni ugonjwa gani huu mtu afanyiwa operation na kutolewa minyoo mingi hivi?

    Hebu Tazameni hii operation madaktari mtueleze ni nini hii.
  17. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu ngoma ya Forever Young ya Jay Z alikuwa na maana gani?

    Nadhani watu wengi wanajua kwamba wimbo wa Forever Young, Jigga alimaanisha kwamba hazeeki, still ana muonekano wa ujana. Yes hii ndio maana inayojulikana na wengi sana huko mtaani, hebu tusome wote hapa; Jay Z ajitangazia kuishi milele ☆ Naomba niwakumbushe tu kuelewa Kingereza,na kuelewa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Spika wa Bunge amewakosea nini?

    Spika wa Bunge anadhalilishwa na kushambuliwa kila mahali huku tukijua kuwa Dkt. Tulia ni Daktari wa PhD na sio Dokta wa Mchongo kwanini tunashindwa kuheshimu taaluma yake? Kosa lake ni nini hadi ashambuliwe kiasi hicho?
  19. JamiiForums Tanzania Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?

    Wadau mimi nilikua nauliza ukisomea combi ya Hgl huko mbele kuna fursa kama zipi?
  20. JamiiForums Tanzania Kama asingekosea kutaja jina langu, ningekuwa na hali gani sasa?

    Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'. Baada ya kufika kaunta, nikaagiza mvinyo kama kawaida yangu huku nikiangalia kule na pale angalau tu, niweze kuona maua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…