gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo. Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
  2. Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  3. Waziri Ndalichako unapata Faida gani Wastaafu kulipwa Kikokotoo?

    Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
  4. App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  5. Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

    Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?
  6. TANESCO mita zenu mpya zina shida gani? Zinakata umeme wakati upo

    Kuna hizi mita za TANESCO wanazofungia wateja sasa hivi, kila siku usiku lazima zikate umeme lakini kwa wale wenye mita za zamani umeme upo. Tatizo nini? Au ndio mita za michongo?
  7. Mwanaume kama huyu anapatikana mkoa gani?

  8. Challenge gani umfanya mkuu wa nchi kujitokeza public ili kuomba kuombewa?

    Habari wakuu,hamjambo? Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa. Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto...
  9. R

    Hivi Mama Janeth Magufuli amestaafu kazi katika utumishi wa umma? Kwa sasa anafanya kazi gani?

    Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna kipengele kinachotoa ajira automatic Kwa mke wa kiongozi. Na kama kipo je ni ajira zote? Kutokana...
  10. Kozi gani ina michongo mingi kati ya Civil Engineering, Quantity survey na Geomatics?

    Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na...
  11. Umewahi kufanya prank gani?

    Pranks si vitu vigeni. Tumefanya toka utotoni. Social media ni zimezifanya ziwe maarufu sana. Mimi ilikuwa hii. Tulikuwa na jamaa yangu tumetoka chuo Muhimbili tunaelekea Mabibo hostel. Ndiyo tunaanza shule. Tunatembea hadi mtaa wa Congo kuchukua gari za kutoka Mnazi Mmoja. Sasa kufika jengo...
  12. Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  13. M

    Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

    Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini. Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana. Je, niwapi wanaomfata?
  14. J

    Hayati Magufuli aliwahi kumfunga kiongozi yoyote kutokana na ubadhirifu kwenye ripoti ya CAG?

    Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa kisiasa kama tunazijadili kisiasa Kuna baadhi ya watu ambao wamekosa hoja ya kutetea siasa zao...
  15. Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  16. Ni kitu gani unahofia/unaogopa kisikupate mpaka unaimaliza safari duniani?

    Kuna vitu tumekua tunaogopa au kuhofia visije kutupata katika maisha yetu. Tukianza na mimi hivi ni miongoni mwa vitu ambavyo vinanisababishia hofu: Kupata ajali ya aina yoyote pikipiki au gari Kung'atwa na viumbe vyenye sumu kama nyoka, n'ge, tandu au buibui Kuuawa Kupata ulemavu wa viungo...
  17. B

    Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

    Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada? Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu...
  18. Starehe gani unaifanya ukiwa peke yako na unaifurahia?

    Starehe gani unaifanya ukiwa peke yako na unaifurahia?✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
  19. Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

    Wakuu, nijibuni haya maswali:- Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni? Na kwanini unavaa hayo mavazi?
  20. Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…