gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ulificha magendo gani chumbani kwako alafu ile unarudi nyumbani ukakuta kiko sebuleni unasubiriwa utoe majibu?

    Mimi ilikuwa smartphone kipindi hicho nipo sekondari Nilipataga hela sehemu nikaenda kuinunua hiyo smartphone nikawa naificha kwenye viatu alafu hivyo viatu nikaweka juu ya kabati Siku hiyo Bi Mkubwa hakwenda kazini kwenye harakati za kufanya usafi ndani kwangu akaikuta Ile narudi shule...
  2. JamiiForums Tanzania Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?

    Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?
  3. JamiiForums Tanzania Nchi gani unaona ina mandhari mazuri?

    Je ni nchi gani ukifuatilia unaona hii nchi ina mazingira mazuri, ya kuvutia mbele ya macho? Binafsi naona Marekani. Nchi ya Marekani ina mazingira mazuri sana kuanzia Nature, miji, vijiji hadi suburbs Nimeweka picha kueleza kwa nini nahisi Marekani ndio nchi yenye mandhari mazuri kwa upande...
  4. JamiiForums Tanzania Je router gani inafaa kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani !!!

    Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router. Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

    Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani. Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa haya mambo huwezi yakuta ulaya
  6. JamiiForums Tanzania Series gani uliwahi kuangalia na hutamani Tena?

    kipindi Cha nyuma mwaka jana nliwahi kuangalia hili dubwasha Kwa jina la "From" Najutaa🤣
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?

    Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
  8. JamiiForums Tanzania Vitu gani mtu akiposti mtandaoni unaona ni ulimbukeni na ushamba

    Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu kucomment. Kwahyo kabla hujapost chochote jua kabisa kuwa unapost kwa ajili ya watazamaji, na watakutafsiri...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna bank Amana mkombozi na maendeleo

    Hizi ni bank za taasisi za dini . Azania ni bank ya waislamu .. Maendeleo ni bank ya kkkt.(kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania) Na mkombozi ni bank ya Rc (roman katholic) Sasa hizi bank 2 yaani mkombozi na maendeleo ukoenda kukopa unakopeshwa bila kujali dinije!kwa nini hii ya azania y...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna tija gani kuingiza mchepuko wa BRT phase 3 airport?

    Pamoja na takwa la Serikali la kuhakikisha miundo mbinu inasomana, Kwa maoni yangu, sioni tija ya mradi wa BRT awamu ya tatu kuingiza mchepuko wake ndani ya Airport ya Kimataifa ya Julius Nyerere kutokana na sababu chache zifuatazo: Ukizingatia umbali wa vituo vingine vya BRT kituo cha airport...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ujitafakari

    Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania. Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda sana hawakutaka kunipoteza, kilichosaidia balozi alikuja kuwaamua na tangu hapo nilijitafakari upya na...
  12. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

    Kwema wakuu, Mada hapo juu yahusika share kitu gani umewahi kusikia ukabisha sana ukidhani kuwa ni chai, lakini baadae ukajagundua ni kweli. Na vipi ulipogundua ni kweli, uliamini au uliendelea kubisha!
  13. JamiiForums Tanzania Wanaozuia mtandao mpaka sasa wamepata faida gani?

    Tangu mwaka jana jukwaa hili lilizuiwa kwa muda wa siku 90 na TCRA. Tulipitia wakati mgumu sana kwa sababu hili jukwaa lina manufaa mengi sana hasa kwa ustawi wa taifa letu. Ni kupitia jukwaa hili ambapo wananchi huwasilisha kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili. Ni kupitia jukwaa hili...
  14. JamiiForums Tanzania Changamsha bongo: Wasomi, unaweza tumia njia gani kutenganisha huu udongo?

    Ukiambiwa utenganishe huu udongo utatumia njia gani?
  15. JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwakilishi wa Tanzania huko kwenye Miss World? Mbona kama tumepigwa?

    Wakuu, Anaitwa Latricia Ian, jana ndo kachaguliwa kuwa ni Miss World Tanzania Mna uhakika huyu ndo anaenda kutuwakilisha Watanzania huko Miss World? Kamati ya Miss World wametumia vigezo kumpa huyu dada title ya Miss World Tanzania? Nimesikitika!
  16. JamiiForums Tanzania Hivi huwaga kuna biashara gani inafanyika pale?

    Habari za jioni Wakuu Kwa wale ambao wapo Dar ama wanapafahamu vyema Dar, basi sio wageni na kitu hiki kabisa lazima watakuwa washawahi kuona ama kusikia Kuna baadhi ya sehemu ukipita hasa maeneo ya mjini au sokoni huwa unaona kuna kundi limejikusanya wakimzunguka mtu anayetangaza vitu fulani...
  17. JamiiForums Tanzania Wakali wa Location hapa ni Makambako sehemu gani?

    Wakali wa location mko wapi Ni eneo maarufu sana hapa Makambako
  18. JamiiForums Tanzania Pisi gani kali iliyomo humu tuende naye mbugani, tukajifunze namna ya kuijaza dunia?

    Kutokana na uchovu wa wiki nzima, imenibidi nitenge muda angalau wikiendi hii niende nikashangae viumbe wengine wanavyoishi wakiwa hapa duniani. Nimeazimia kutembelea mbuga mbili, sasa ili safari isinichoshe na niifurahie zaidi, nahitaji kampani ya pisi kali tukaangalie namna viumbe wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kudai Boss alipe Mishahara

    Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu. Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine nao wakifanya anawadhurumu . Trend huwa ipo ivyo Leo tumekaa kupanga jinsi gani Tu deal na BOSS ila...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

    Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi. Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…