Biashara gani uliambiwa inalipa afu ukala za uso

Biashara gani uliambiwa inalipa afu ukala za uso

Udambudambu ni nini?
We wa kishua halafu unaanzisha bize la kongoro ndo mana ulifeli

Wee hata udambudambu humanyi halafu unashangaa jungu zima ulikunywa mwenye.!?

Hata kongoro litaka udambudambu
 
Back
Top Bottom