gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Nizingatie vitu gani muhimu wakati wa kununua gari ili nisije jutia baadae?

    Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute NISHTUENI WAZEE
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani Mwanaume unaweza kutumia ili Usirogwe na Mkeo au Hawara hasa ukishamshtukia kuwa ni Mshirikina au anataka Kukutengeza / Kukuroga?

    Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  3. D

    JamiiForums Tanzania simba usajili gani huu?? au 10%

    every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
  4. Mc Justine Mwakibiki

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua gani zichukuliwe kwa ubadhirifu unaobainishwa kwenye ripoti ya CAG ili kuchochea uwajibikaji?

    Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu. Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
  5. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unastahili kuwa na jiji litakaloandaliwa kuwa nembo na kielelezo cha taifa?

    Katika kuhamasisha utalii na kuitangaza nchi yetu na miji yetu, mnaonaje serekali ingeweka mpango mkakati katika baadhi ya miji kuiandaa kuwa nembo ambayo kila mtu atakapofika kwenye miji hiyo asiache kuondoka na kumbukumbu nzuri ya kwenda kuelezea. Mji utakaokuwa ni kielelezo cha:- 1.historia...
  6. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kuhama kutoka kuwa mteja wa benki ya Nmb ni benki gani nzuri kufanya saving?

    WAKUU HII BENKI IMENISHINDA TABIA, SASA MTU KUANGALIA TU SALIO LANGU WASHAKULA 3500 SASA KAMA HUU⬆️ SIO UNGESE NI NINI? Naombeni ushauri ni benki gan niwe naweka akiba zangu.
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika una faida gani kwa Waafrika?

    Ingefaa kwamba Umoja wa Afrika (AU) ingekuwa kama baba kwa nchi za Afrika. Uwepo wake ulipaswa kunufaisha raia wa nchi wanachama! Pamoja na uwepo wa AU, bado nchi za Afrika zimeendelea kuwa kama watoto wasio na waangalizi. 1. Vita vya wenyewe kwa wenyewe, mfano ilivyotokea Rwanda na baadaye...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi na chawa mmegundua siri gani?

    Kule kwetu watu wenye chawa walikuwa wakijisikia aibu, lakini nasikia huko kwenu ni ufahari kuwa na chawa wengi! Kule kwetu tulikuwa tukuzichemshia maji nguo zenye chawa, lakini nasikia huko kwenu mnazilisha na kuzihudumia vizuri! Kule kwetu tulikuwa tukikosa usingizi chawa wakivamia vitanda...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "Rais katoa hela" ni sahihi kwa kiasi gani?

    Ni kauli ambayo ilianza kutumika sana kipindi cha Magufuli na kutia mizizi katika utawala wa Samia. Ni kauli inayotumiwa na wanasiasa na watendaji wa Serikali! Kwa sasa ni kawaida kusikia: 1. Rais katoa hela ya kujenga maabara! 2. Mama katoa fedha za kujengea shule 3. Dr. Samia katoa...
  11. Dance Macabre

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kuendesha gari na pikipiki kupitia uzi huu.

    Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva? Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ameota anafanya mapenzi na boss wake wa kike. Je, ina tafsiri gani?

    Shalom, Naripoti toka Dodoma City Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa. Anasilimulia kuwa ana boss wa kike ofisni na yupo ngazi ya juu kidogo kwa maana sio boss wake wa uwajibikaji wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani?

    Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani najikuta tu nakosa amani?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

    NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania coastal union wamesema awaja muuza lameck lawi, simba wame sign lawi gani??

  16. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

    Kuna jamaa ngu alipelekwa jela kirahis sana. Lisa alinunua simu kwa rafiki yake bila kujua kuwa hiyo simu iliibwa
  17. E

    JamiiForums Tanzania Hivi tofauti kati ya watu kama kina Lucas Mwashambwa na kina Erythrocytes/ faiza Foxy ipi ? Wana umuhimu gani katika Taifa ?

    Hivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ? Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Adhabu gani nzuri ya kumpa Hawara ambaye unamwambia asipige Simu muda ukiwa na Mkeo na Yeye kwa Makusudi anapiga na Kukuponza?

    Naomba majibu yenu ya haraka kwani kuna Mpuuzi Mmoja ( Demu wa Njje ) naona anataka kulazimisha nimwache mazima leo baada ya Kuniponza tena kwa Makusudi. Hata kama Wanaume tuna Mahawara zetu Nje ( Nje Cup ) ila kuna muda huwa tunapenda Kucheza pia Mechi zetu za Kawaida na Kimashindano na Heshima...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwa kina mchochea mtu kutukana na kuporomosha matusi

    Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho...
  20. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
Back
Top Bottom