N Nehi95 Member Joined Jun 11, 2024 Posts 61 Reaction score 128 Jun 21, 2024 #1 Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani najikuta tu nakosa amani?
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,253 Reaction score 22,169 Jun 21, 2024 #2 Nehi95 said: Kwann kabla ya kufanya maamuzi ya jambo Fulani najikuta tu nakosa amani Click to expand... Hofu na mashaka!
Nehi95 said: Kwann kabla ya kufanya maamuzi ya jambo Fulani najikuta tu nakosa amani Click to expand... Hofu na mashaka!
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,877 Reaction score 9,757 Jun 21, 2024 #3 Magonjwa ya zinaa
D domituzo Member Joined Feb 26, 2016 Posts 10 Reaction score 8 Jun 22, 2024 #4 Uogaaa tena kataa ni roho ya kimaskini hiyo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,460 Reaction score 195,273 Jun 22, 2024 #5 Hujiamini... Cc: Mahondaw