gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  2. M

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  3. M

    Tuzingatie kitu gani tunapokwenda kununua simu ili tupate simu bora?

    Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni. Sasa...
  4. Damaso

    Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  5. ELI COHEN

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza?

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza? 🧠🧠🧠
  6. Kazanazo

    Ni utaratibu gani wa kufuata ili kuanzisha nchi?

    Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria Nawasilisha
  7. M

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  8. Vincenzo Jr

    Vodacom kuna tatizo gani?

    Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni ishaanza wizi hii
  9. Yoda

    Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  10. Yoda

    Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
  11. R

    Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

    Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo...
  12. Ngurukia

    Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

  13. Baba Rhobi

    Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo. Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo. Kuna zile naskia...
  14. Dr leader

    Kitu gani kinamsisimua mwanamke

    Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana… “Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?” Nilidhani wangesema: Misuli ya tumbo. Pesa. Au ubabe wa mwanaume. Lakini majibu yao lilinishangaza. Karibu wote walisema kitu kimoja… Sio kile mwanaume anachofanya. Ni kile...
  15. Waufukweni

    TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

    Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
  16. M

    Je, hili linaweza kuwa tatizo gani la saikolojia?

    Hivi ili linaweza kuwa tatizo gani la saikolojia? Mtu kuwa uuongo sana yaani anadanganya kupitia kiasi. Kushindwa kujitambua ( yaani kuwa mtu ambaye anashindwa kudadavua mambo yake mwenyewe au kujisimamia ) Kuwa mtu mwenye wivu wa kupita kiasi, Mchonganishi, Mpenda sifa sana na kuongea kupita...
  17. M

    Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  18. Desierto

    Haya maneno yapo kwenye nyimbo nyingi je yana maana gani?

    Kwenye nyimbo za kizungu, kibongo,nk. Je? Yana maana gani? Na chimbuko lake ni wapi?
  19. Asubuhi News

    Je, MALAIKA anaweza kuwa Mungu kwa mujibu wa Civilian Coin au kiumbe gani kiwe Mungu

    Nimepitia kipeperushi Cha Bw. Civilian Coin-mtoto wa Kisandu Kama anavyojiita yeye anathibitisha kuwa Malaika ndio Mungu.
  20. kiredio Jr

    Njia au mbinu Gani salama kuepuka ushawishi wa mahusiano kazini?

    Let's be short and clear... Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini? Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi? Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
Back
Top Bottom