fuso

The Mitsubishi Fuso Truck and Bus Corporation (Japanese: 三菱ふそうトラック・バス株式会社, Hepburn: Mitsubishi Fusō Torakku・Basu Kabushiki gaisha) is a manufacturer of trucks and buses. It is headquartered in Kawasaki, Kanagawa, Japan. Currently, it is 89.29 %-owned by Germany-based Daimler AG, under the Daimler Trucks division.Fuso derives from the ancient Chinese term Fusang (扶桑), for a sacred tree said to grow at the spot in the East where the sun rises, and has been used to refer to Japan itself. The actual Fuso tree is a hibiscus.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

    Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
  2. Determinantor

    Ndani ya siku 30, Fuso zimehusika kwenye ajali tatu

    Nilikua natafakari hapa. Sijajua kama haya malori (Fuso) ndio yenye shida au Kuna tatizo lingine. Yaani ajali tatu ambazo zimeripotiwa kwa kipindi kisichozidi siku 3, Fuso zimehusika. Ya kwanza ni Ile ya Mkata iliyohusisha Fuso na Coaster iliyokua imebeba mashabiki wa Yanga. Ya pili...
  3. JanguKamaJangu

    Gari kubwa (Fuso) latumbukia kwenye maji baada ya kudondoka kutoka kwenye Kivuko, Julai 18, 2022

    Gari la mizigo aina ya Fuso limetumbukia kwenye maji wakati lililopokuwa limebebwa katika Kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wilaya ya Bukoba Vijijini Mkoani Kagera. Shuhuda wa tukio hilo lililotokea katika Mto Ngono, Datsun Zacharia amesema: “Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa "Chanzo...
  4. Bexb

    Car4Sale Fuso Tipa zinauzwa

    Habari wakuu, gari hizi mbili zinauzwa . Make: Mitsubishi fuso Body: Tipa Location: Dar Engine: zote mbili zina engine ya 6D17 Bei: hiyo ya njano ni 60M Hiyo ya Blue namba DM ni 75M. Gari zote hazina shida yoyote ya kiufundi na zipo tayari kwa kazi. Ukitaka kuziona na kukagua nicheki...
  5. K

    Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  6. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  7. Bexb

    Car4Sale Fuso Tandam inauzwa

    Habari ya jioni wakuu. Ninaileta kwenu hii gari ya kazi Make: Mitsubishi Fuso Engine:16D Location: Dar Bei: 47M kwa mwenyewe NB: Gari ina turbo full miluzi na nguvu. Ukitaka kukagua 0755963775 calls/WhatsApp
  8. The Assassin

    Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

    Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma. Habari zaidi zinafuata. AJALI YA BASI LA GEITA...
  9. JanguKamaJangu

    Tanga: Ajali ya Fuso yaua sita wilayani Lushoto, wengine wajeruhiwa

    Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani Tanga. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema ajali hiyo...
  10. danmarc

    Ni wapi naweza pata usafiri wa fuso za kubeba mizigo yangu kutoka Singida hadi Mwanza, baada ya kuhamishwa kikazi

    Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK , Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
  11. Bexb

    Car4Sale Fuso Tipa na Semi Trailer zinaizwa

    Habari wakuu, Mitsubishi fuso tipa zinauzwa #CLJ Bei 50M ipo Dar #DHH Bei 55 ipo Morogoro Pia SEMITRAILER horse ni 124-420 pamoja na body lake linauzwa vyote bei mil 55. Gari zinahali nzuri na nimezikagua. Ukitaka kuziona na kukagua na mafundi wako unakaribishwa maana zipo kazini daily...
  12. Digxam-TZ

    Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

    Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Canter gari madogo , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Canter utapata . Tuambie aina ya Spare unayotaka au Gari gani unataka nikupe bei serous buyers wasiliana...
  13. hp4510

    Picha: Nahitaji Spea hii ya fuso Fighter

    Wakuu naitaji hii spea fundi kasema inaitwa cabin booster , Kwa mtu yeyote ambae anajua bei yake na wapi naweza kupata kama ni mpya au used then anidm tafadhari Niko Dar es salaam
  14. R

    Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO. Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini. Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
  15. Website Tanzania

    Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  16. hp4510

    Msaada wa ushauri wa Bodi ya Fuso

    Nimenunua gari aina ya fuso Sasa bodi yake ni zile kama za kubebea samaki zile za bati Watu wengi wanashauri nishushe bodi zima na niweke bodi jipya la bati swali kwa wataalam napenda kujua faida na hasara Pia naomba mtu yoyote mwenye utaalam wa kutengeneza hizo bodi za mabati anambie hapa...
  17. hp4510

    Nahitaji gari aina ya Fuso, bajeti yangu milioni 22

    Wakuu Habari. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, bajeti yangu ni milion 22 Na naitaji Gari aina ya Fuso Kwa yeyote anaeuza basi anidm tufanye biashara Niko Dar es Salaam
Back
Top Bottom