Naitwa Mwakawasila Ni mtaalamu na mkufunzi mbobevu kwenye masuala ya Fedha
Hadi saizi ni zaidi ya watu 50 tiyari wanawekeza kwenye HISA, HATIFUNGANI na UTTAMIS,
Lakini wengi zaidi kwenye HISA sababu Kuna faida kubwa kubwa kuliko UTTAMIS na Bond
Muhimu upate Elimu ya kutosha
Tengeneza...