LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 300
- 266
Khabari wakuu!
Nipo Kahama mjini natafuta site iliyochangamka
Nataka nifungue duka la viatu.
Yeyote mwenyeji wa Kahama anaefahamu site nzuri naomba anisaidie ili niweze kupata.
Nawasilisha wakuu
Nipo Kahama mjini natafuta site iliyochangamka
Nataka nifungue duka la viatu.
Yeyote mwenyeji wa Kahama anaefahamu site nzuri naomba anisaidie ili niweze kupata.
Nawasilisha wakuu