fursa

  1. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa madereva wa mabasi na malori kutoka Tanzania kufanya kazi nchini Qatar

    ✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅...
  2. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Fursa kubwa kwenye ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa

    Je, unafahamu kuwa ukiwa na ng’ombe mmoja wa maziwa, unaweza kujipatia kati ya Tsh 600,000 - 900,000 kila mwezi? 🤯 Hii ni fursa halisi kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa. Ng’ombe mzuri wa maziwa anaweza kutoa wastani wa lita 15 - 25 za maziwa kwa siku. Kwa bei ya...
  3. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watanzania wengi wanasota, huku fursa za mauzo nje zikiwa nyingi?

    Nimekuwa nikiona vitu vingi vinavyouzika nchi za Ulaya na uarabuni. Hasa parachichi, viazi mbatata, matunda mengine yakiwemo machungwa, tikiti maji nk. Bila kusahau maua. Ukiangalia uhitaji wa hivi vitu, utagundua asilimia kubwa ya vyakula vya asili, vinavyouzika, kwa gharama kubwa, vinatoka...
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kusoma: Master ya Uongozi wa Ubunifu Afrika

    Fursa ya Kusoma: Master ya Uongozi wa Ubunifu Afrika!
  6. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Siku Hizi na Nguvu ya Mtandao: Tunajenga au Tunabomoa?

    Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔 Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu? Kuna...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Fursa Fursana na mamboAfrica

    Kuna sms zinazunguka zinatumwa na mtandao wa airtel ni za kingereza. Sma hyo imeandikwa hv Your application has been approved, the salary is 22000-45000TZS per day. Contact information: ORA HR Ni wizi mtupu. Hizi hapa picha chini nkichat nao hawa watu Tuwe makini na hawa watu
  8. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania TKZ2025: FURSA ZA AJIRA

    Kampuni ya TUKUZA (Tuenzi na Kutunza Rasilimali Zetu Adimu), inahusika na uchakataji na usambazaji wa bidhaa mbalimbali za chakula, vipodozi asili, na kuendesha MAFUNZO mbalimbali. Kampuni imefanya kazi hizi toka mwaka 2014 hapa nchini Tanzania. Bidhaa zetu zina ubora wa hali juu na zinafanya...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tusilalamike kuwa wachina wamekuja kuchukua fursa bali ni sisi wenyewe hatujui kutumia hizo fursa

    Tanzania kuna fursa nyingi ila watu wenyewe ni kama penye miti hakuna wajenzi. Wafanyabiashara wengi wa tanzania ufanyabiashara ili mradi wanafanya tu. Baada ya kuangalia wenzetu wanavyo weza kujali biashara zao kuanzia hatua ya kuviandaa mpaka kuingia sokoni. Niliangalia mfano utengenezaji...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni yapi uliyojifunza sasa ambayo unatamani ungejifunza hapo nyuma ila haukupata fursa hio au basi tu ulikuwa mbishi

    ACCEPTANCE: Kujifunza kukubaliana na hali yako. Yani uta-enjoy hata vidogo maisha itakayo ku-offer, tofauti na hapo kila asubuhi utaamka na stress. Kutuliza kwanza hisia ili niikaribishe akili Maamuzi yanayotukuta tukiwa katika mihemuko mara nyingi yanaishia kuwa na negative impact. Tulia...
  11. KABAKA28

    JamiiForums Tanzania Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

    Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania. Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea Japani hali ya ubaguzi kwa Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine. Visa ya Kufika Japani ni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema. Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Wakuu salama,Fursa zipi zinapatikana katika jiji la Mbeya

    Wakuu salama? Je, ni fursa gani zinapatikana katika jiji la Mbeya
  14. J

    JamiiForums Tanzania Fursa, utashi na uhuru wa fedha

    Karibuni Msome kitabu changu kipya: FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA Tambua Siri ya Tabia kuelekea Uhuru wa Kifedha Je, unataka kujua siri ya kufikia uhuru wa kifedha? Kitabu hiki kinakupa mwongozo wa kina na wa vitendo kuhusu jinsi ya kuchangamkia fursa zilizoko mbele yako na kuimarisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: FURSA YA KUSHIRIKIANA KATIKA BIASHARA YA KIWI NYEUSI

    Unatafuta fursa ya kuwekeza katika biashara yenye bidhaa inayotembea? Tunatafuta mshirika wa biashara kwa ajili ya bidhaa yetu ya kiwi nyeusi kwa viatu! ✅ Masoko yetu kwa sasa ni wanafunzi – wateja wa uhakika! ✅ Sehemu ya uzalishaji ipo tayari. ✅ Package zipo tayari kwa usambazaji. Tunahitaji...
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Serikali itengeneze mazingira rafiki wasomi wakatafute Fursa nje ya Tanzania, kusoma VETA sio Fursa.

    Msomi anapata Fursa ya kwenda kuwa muuguzi Dubai au uingereza lakini kwenye suala la kupata passport na nyaraka nyinginezo inakuwa ni kipengele, ukiritimba na udwanzi umejaa sana kwenye ofisini za uhamiaji, kuliko kumshusha hadhi msomi mwenye shahada serikali ingeweka mazingira rafiki watu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya leseni 4,000 kutolewa Mbogwe (Geita), Wazawa waitwa kuchangamkia fursa

    ZAIDI ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza katika mahojiano, Afisa Madini Mkazi wa Mbogwe, Mhandisi Jeremiah Hango...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo

    Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale inapohitajika. Hayo yamesemwa kwa njia ya Mtandao na Balozi Mahmoud Thabit Kombo,(Mb), Waziri wa Mambo...
  19. I X 01

    JamiiForums Tanzania Ajira za Dangote cement

    Habarini za asubuhi wakuu, mimi niko na swali kuna hizi ajira zinatangazwa na kampuni ya Dangote kila siku tunaomba ila hatupati ata majibu kuna mwanazuoni alishawahi pata hizi ajira au ata kuitwa interview atupe abc za kuomba hizi kazi tufanikiwe wote jamani😄
  20. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

    Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
Back
Top Bottom