Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6
Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna.
Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
Habari Tanzania !
Haya vijana changamkia fursa hii. Anza pole pole kwa yule mwenye ndoto za biashara ya uuzaji mafuta ya vyombo vya moto mchongo huo hapo. Hata kama hujapata wazo la biashara; unaweza kuta unasukuma hii biz maana soko lake ni uhakika kila siku saa 24 siku 7 za wiki. Kazi ni...
Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja
Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania?
Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za Mji wa Kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za kiutafutaji,
Pia mwenyeji wa mkoa wa kahama unaweza ukaninifadhili nikae Kwako cha muhimu uaminifuntu...
12 January 2026
Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA
Januari 12, 2026
WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) na HOPE/HELP kwa Haiti, ambazo zinalinda na kuimarisha...
Somo hili nalileta kwenu kwa ujumla yaani lina cut across kada zote zinazotakiwa kuhudumia jamii na pia jamii yenyewe inayotakiwa kuhudumiwa.
MOSI:
Lazima mjitambue kwamba ninyin ni watanzania na utambulisho wenu daima uatakuwa ni utanzania.Utanzania ni muunhaniko wa makabila mengi ikiwemo...
Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi.
Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za vinywaji kutoka nje ya nchi (international beverage brand) kwenye soko la Tanzania.
Kwa sasa niko...
Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano
Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
Habari Jamii Forums
PART 1
Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae.
ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI.
Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu!
Hii ni misemo ya wahenga,
Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa!
Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT).
Dkt...
Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote kwenye izo live, kama ni masoko ya vyakula uku mashamba yapo ya kutosha mpaka yanamwagika, kama ni ajira...
Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...