fursa

  1. JamiiForums Tanzania Kuna fursa hapa au mimi ndio fursa

  2. JamiiForums Tanzania Fursa ya Ubia kwenye Real Estate Development na Construction.

    *Fursa ya biashara kwa ubia (joint venture) * Abraar Bricks Nyumba kwa wote, Kumejitojeza fursa ya kibiashara ambayo inahitaji active partners wa kuingia nao makubaliano ya kibiashara (joint ventures). Yeyote kati ya hawa hapa chini wanaokidhi vigezo tuwasiliane; 1) Upo kwenye fani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge: Uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), Jikite kutangaza fursa za Shahada za Umahiri

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za Shahada za Umahirii ili kuongeza mapato ya ndani ya chuo hicho. Ameyasema hayo mkoani Iringa mara...
  4. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Maonesho ya Kimataifa ya TANZFOOD, fursa muhimu kwa wakulima

    Na Joseph Ngilisho Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela amefungua maonesho ya kimataifa ya kilimo yanayojulikana Kama ‘TANZFOOD Expo’ katika viwanja vya magereza, na kuwataka wadau wa kilimo na wafugaji kuyatumia maonesho hayo kama fursa ya kujifunza na kutangaza bidhaa zao Kimataifa. Akiongea...
  5. JamiiForums Tanzania Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

    Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Spare za Tv, Radio, Computer na nyingine zinazofanana na hizo

    Wasalaam Kama heading inavyosema naomba kujua ni vitu gani vya kuanza navyo kwenye biashara ya spare part za Tv Radio, Computer nk.
  7. JamiiForums Tanzania Ukraine itume mabalozi wake kwenda Mkoa wa Mara kuchukua wapiganaji, mkoa huu unapenda sana kazi za Jeshi

    Yani Hakuna haja ya kutafuta, wakifika huko watakuta kuna foleni tayari inawasubiri kuanzia wajita, wakurya, wajaluo, Wazanaki, Wangoreme, Wasuba, Waikizu, Waisenye, Waikoma, Wakwaya, Waluli, Washashi, Wanata na Wasweta. Hata kipindi cha vita ya Kagera, kila mkoa ulipewa nafasi elf 2 za...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndani ya Dubai EXPO 2020 kutangaza fursa za biashara na uwekezaji Tanzania

    Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la TANZANIA LEO la Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye ukurasa wa 3 nimechambua hatua ya Rais Samia kushiriki maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Uwekezaji na biashara ya Dubai Expo 2020 huko Dubai. Kesho Februari 26, 2022 ni Siku ya Tanzania (Tanzania Day)...
  9. JamiiForums Tanzania Tusaidiane fursa zinazopatikana Mji wa Tunduma

    Recently Tunduma imekuwa katika topic za conversations kuhusu ukuaji. Kwa walio huko au wanaoufahamu huu mji, watupatie kiundani kasi ya maendeleo, fursa zinazotekelezwa, utamaduni, uchumi na mengine mengi kiujumla. Karibuni sana wakuu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kuwa fursa muhimu ya diplomasia ya uchumi kwa Tanzania

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki alipohojiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 cha kituo cha televisheni cha ITV, alifafanua vizuri kuhusu fursa inazotoa China kwa Tanzania, iwe ni katika sekta ya viwanda, kilimo, biashara na hata uwekezaji. Baadhi...
  11. JamiiForums Tanzania Fursa za ufadhili kwa Watanzania nchi za Mauritania na Urusi

    Fursa za ufadhili kwa Watanzania Mauritania na Urusi
  12. P

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mbowe kuwa na kesi ya kujibu ni fursa ya kujua zaidi wasiojulikana wanafanyaje kazi

    Binafsi naona kitendo cha mahakama kuamua kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Kwanza ni maumivu makubwa ya kisaikolojia na kimwili Kwa wahusika Kwa kukosa Uhuru na kushindwa kuendesha maisha Yao walivyozoea, lakini upande wa pili ni fursa Kwa Wana wa nchi hii kujua ni jinsi gani Siri Kali...
  13. JamiiForums Tanzania Nifanye nini niache kukataliwa, nianze kupewa nafasi kazini au kwenye fursa mbalimbali?

    Kama una tatizo katika mwili wako na inahitajika ufanyiwe upasuaji (operation/surgery). Na wakawepo watu wawili, mmoja ni rafiki yako wa karibu unayempenda lakini hana utaalamu wowote juu ya upasuaji na mwili wa binadamu lakini wa pili ni mtaalamu na ana uwezo mkubwa wa upasuaji kutokana na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye nishati endelevu ni fursa ya maendeleo na hatua muhimu ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

    Na Fadhili Mpunji Katika muda mrefu uliopita suala la matumizi ya nishati limekuwa changamoto kwa nchi nyingi za Afrika, na nchi nyingi za Afrika zikilazimika kutumia pesa nyingi za kigeni kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi, na kutumia mafuta hayo kama chanzo kikuu cha nishati, au kutumia makaa...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyesikia fursa za kazi zilizotangazwa na chuo cha NIT atujuze hapa

    Mmesikia Clouds FM Radio leo asubuhi kuhusu fursa mbalimbali za kazi huko Canada Kama kuna aliyesikia fursa za kazi zilizotangazwa na chuo cha N. I. T atujuze hapa.
  16. JamiiForums Tanzania Rebranding Tanzania! Ikulu Mawasiliano, Je mnajua ziara ya jana ya Rais Samia nchini Msumbiji ilikuwa moja ya Fursa ya kui-brand Tanzania Nje?

    Mwezi Novemba 2003, Baada ya vita kufukuta nchini Iraq, Rais wa Marekani alifanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la vita Yaani nchini Iraq Kwa Wamarekani ile ilikuwa sehemu ya fursa ya kuitangazia Dunia kuwa ni kwa Jinsi gani wana uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa kumsafirisha Rais wao hadi eneo...
  17. JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara

    Habari; Leo nimeona niwashirikishe watu fursa,Wakati nikielezea hii FURSA niweke angalizo kwamba "UKIITIWA FURSA UJUE WEWE NI FURSA" so kama hutaki kuwa fursa basi wewe hii fursa haitakufaa.Baada ya kutoa anagalizo basi niende moja kwa moja kwenye mada ya msingi. Kama sehemu ya majukumu yangu...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa ya kukopesheka

    Tumeshusha RIBA Leo tumetangaza punguzo kubwa la riba za mikopo ya kilimo na mikopo ya wafanyakazi ili kuchochea ukuaji wa uchumi nchini; [emoji2389] Riba ya mikopo ya kilimo imepunguzwa kutoka 20% hadi 9% [emoji736] [emoji2390] Riba ya mikopo ya wafanyakazi kutoka 16% hadi 13% [emoji736]...
  19. JamiiForums Tanzania Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
  20. JamiiForums Tanzania Fursa kwa timu ya Simba, course ya upigaji penalti yafunguliwa na Yanga

    Salaaam Wana JF Kutokana na kutokuridhishwa kwa kiwango cha wachezaji wa SIMBA kwenye Upigaji wa penalt au mipira iliyokufa Timu ya WANANCHI kama mdau mikubwa wa maendeleo wa mpira kupitia kwa matajiri wa GSM imekuja na course fupi ya Upigaji wa penalt kwa wachezaji wa SIMBA ili kupunguza idadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…