Tz Food Exporters
Member
- Mar 22, 2021
- 21
- 22
Tumeshusha RIBA
Leo tumetangaza punguzo kubwa la riba za mikopo ya kilimo na mikopo ya wafanyakazi ili kuchochea ukuaji wa uchumi nchini;
[emoji2389] Riba ya mikopo ya kilimo imepunguzwa kutoka 20% hadi 9% [emoji736]
[emoji2390] Riba ya mikopo ya wafanyakazi kutoka 16% hadi 13% [emoji736]
Tembelea matawi yetu sasa kufurahia punguzo hili la riba.
#CRDBBank