Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki.
Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
Habari wanajamvi,
natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno.
Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki yangu mafolebaraka
Nkatamani kulijibu kwa post kadhaa, kuanzia hili la leo.
Binafsi, sijaajiriwa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada za kutafuta fedha kupitia wahisani mbalimbali wa maendeleo ili kusaidia Makandarasi wa ndani kuwa na uwezo wa kutekeleza miradi mbalimbali ya miundombinu nchini.
Akiongea kupitia kipindi cha Mizani ya Wiki cha U...
India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe.
Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo...
Wakuu,
Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.
Mimi naanza kama ifuatavyo:
1. MLOWO
Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji...
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui.
Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni
👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato
👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number 0684861947 / 0692436124
Mtazamo wangu naona serikali iweze kupunguza kodi kwa wawezekaji ili waje kwa wingi vijana wengi waweze kupata ajira.
Tazama hata nchi zilizoendelea ajira ni nyingi mpaka watu wanafuatwa na kampuni ili waajiriwe angali bado mtu yupo chuo.
Hivyo inasababisha hata maendeleo kwa nchi kwani kodi...
Serikali itoe fursa kwa vijana wenye vipaji na uwezo
Serikali tungeomba iwape fursa vijana wenye uwezo na taaluma mbalimbali tanzania tumejaliwa kuwa na vijana wengi wenye uwezo mbalimbali katika sekta mbalimbali mfano kuna vijana wengi wanataaluma computer science wapo tu mtaani awana kazi...
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa nina swali fikirishi
Eti, kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na...
Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya.
Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas.
Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo.
Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
JAMII imetakiwa kubadili mitazamo hasi juu ya suala la ushiriki wa wanawake katika michezo mbalimbali ili nao waweze kupata haki yao ya msingi ya kuchangamana kupitia michezo hiyo.
Wito huo umetolewa na mtaalam wa masuala ya kijinsia na mwandishi wa habari mkongwe nchini, Bi Hawra Shamte...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wakandarasi Wanawake Kanda ya Kati na Mashariki Tanzania Bi. Hidaya Abri amemshukuru Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda kwa kuendelea kuwapambania wakandarasi wanawake kupata mitaji inayowawezesha kufanikisha Utekelezaji wa tenda za wadau wa Maendeleo ikiwemo...
TUKIVUTANA KATIKA MAENEO YA KAZI, SIASA, BIASHARA HAUWI ADUI YANGU
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
JITU LA MIRABA
Kuna wakati huwa tunavutana katika hali ya kila mmoja kutetea maslai yake, kwangu hilo sio jambo geni na baya ilimradi tu tuwe na mipaka katika kuvutana huko...
UTANGULIZI
Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni Marekani ya sasa yenye ushawishi wa kiuchumi Duniani? Au ni Dubai ya sasa yenye majengo marefu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.