TOFAUTI ZA KISIASA NA KIKAZI ZISITULETEE UADUI, BADO TUNA FURSA YA KULINDA UDUGU WETU

Nov 6, 2016
85
219
TUKIVUTANA KATIKA MAENEO YA KAZI, SIASA, BIASHARA HAUWI ADUI YANGU

Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
JITU LA MIRABA

Kuna wakati huwa tunavutana katika hali ya kila mmoja kutetea maslai yake, kwangu hilo sio jambo geni na baya ilimradi tu tuwe na mipaka katika kuvutana huko, endapo tu eneo tulovutania ni biashara, kazi au siasa hauwi adui yangu.

BIASHARA/ KAZI
Endapo tumeshindwana katika mfumo mzima wa uendeshaji wa biashara yangu katika bei, muda wa kufikisha mzigo au huduma, au namna ya kukufikishia huduma au bidhaa, au ubora wa bidhaa, kwa sababu mimi naendesha biashara zangu kwa mfumo ninaouona rahisi na wenye maslai kwangu ili nipate faida hivyo basi kutofautiana katika hali hiyo haui adui yangu, na zaidi pia ukitaka kuniajiri nikakataa pia huo si uadui

SIASA
Endapo wewe huniungi mkono mimi kisiasa na unamuunga mkono mwenzangu pia haui adui yangu, natambua kwamba una haki ya kuchagua na democrasia ni kuwa na wengi kumchagua mmoja, tumia haki yako usiniwekee kinyongo, na wewe tambua nikiwa sikuungi mkono kisiasa basi pia sina uadui na wewe nimetumia haki yangu kuchagua ninayemwona ananifaa kwa vigezo na wakati uliopo

WEWE NI ADUI ENDAPO TU UNAINGILIA MAISHA YANGU BINAFSI.
Kuna watu najaribu sana kuwadhibiti wasiingie kwenye mifumo ya maisha yangu ila hawakubali wengine wamekuwa vinganganizi, wameshindwa kabisa kutenganisha kati ya siasa, kazi, na mitindo ya maisha ( life style )

LIFE STYLE - MTINDO WA MAISHA
Mitindo ya maisha inahusisha mfumo mzima ambao unaumudu kuisha na ukapata furaha, ndio unabeba ule utu wako, na katika maisha ni nafuu sana ukubalike katika hali ambayo inakupa furaha na unaimudu kuliko kukubalika katika hali ya maigizo unayojituma kufanya kwa gharama yoyote.

ANGALIZO: MTINDO WA MAISHA YAKO USIWE NI ULE UNAOVUNJA SHERIA ZA JAMUHULI YA MUUNGANO WA TANZANIA INAYOONGOZWA NA KIPENZI CHETU DR SAMIA SULUHU HASAN ( RAIS NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI )

HUTAKAA UWE ADUI, HATA KAMA WEWE UTACHAGUA KUKAA UPANDE HUO, NITAKUDHIBITI NA UTAKAA UPANDE WA MARAFIKI WANAOTENGWA KWA MBALI NITAKUCHOREA MSTARI HUTOVUKA.

Nawatakia kheri katika siku ya MAMA Duniani

Comrade Ally Maftah

Uko sahihi.Maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom