furaha

  1. JamiiForums Tanzania Mayele najua unataka kurudi Tanzania kwakuwa huko una Furaha ila nakuomba baki piga Hela usirudi Bongo kwani Utatuzidishia tu Machungu Sisi Lia Lia SC

    Baada ya kumsikia Mtu wako wa Karibu akisema unataka Kurudi Tanzania namtafuta Mganga akufunge Akili usirejee TZA.
  2. JamiiForums Tanzania Wake mngeheshimu na kuwapenda waume zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume ndoa zingekuwa na furaha sana, badilikeni

    Shalom wana wa Mungu, Sijui niongeze sauti… lakini kichwa cha habari kinajieleza. Wanandoa hasa wamama—badilikeni. Pendeni nyumba zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume. Maana mkiachika, mtasikia: “Huyo hakuwa wako, hakuwa kutoka kwa Mungu.” Lakini ukweli ni mawili tu...
  3. JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  4. JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  5. JamiiForums Tanzania Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe

    Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda, Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha. Tumia Fedha Mali ulizo nazo kujipa Furaha, ila zingatia kua mwanadamu asiwe Sehemu ya Furaha yako. Chagua Vitu ndo vie...
  6. JamiiForums Tanzania Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

    Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni. Shikamooni. Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi...
  7. JamiiForums Tanzania Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

    Wakuu Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi. Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
  8. JamiiForums Tanzania Nahisi Tanzania inaongoza kwa furaha duniani

    Nchi Fulani watu wanapenda mpira na burudani muda wote kula bata Tu Kwa hiyo hamtaweza kumpindua mama Samia labda polepole ajage kufanya maajabu awe rais na polepole me namjua ninkweli mzalendo nakumbuka chuoni alituita viwanja vya mnazi mmoja watu wa uvccm kichuo..jamaa ana points vibaya mno za...
  9. JamiiForums Tanzania Kujaamiana na mke wangu,kwangu ni tendo la furaha na hadhi kubwa sana

    Tunapolifanya tendo hili na wake zangu,ni tendo la furaha kubwa na hadhi ya juu sana: 1.Kila mmoja wetu huwa na shauku la kulifanya na kila mmoja anataka kujua mwenzie atakuja kujaje,staili gani 2.Kila mmoja huwa anamtaka mwenzie kwa hamu kubwa 3.Tunapolifanya hulifanya kwa kushambuliana sana...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Nini sababu ya CCM kumkata Furaha Dominic aliyeongoza kura za maoni Kawe 2020? Ni chuki na Magufuli?

    Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM. Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
  11. U

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi Rais Samia umetuongzea WanaCCM amani, furaha na moyo wa kujiamini kisiasa zaidi ukilinganisha na wenzet u ambao wasiojua hatima yao

    Usibishe huo ndiyo ukweli wanaCCM wapo na furaha mipango yao yaenda vema uzoefu silaha muhimu. Jemedari pongezi zake
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kudhurumiana wenyewe hawataki lakini kudhurumu wengine ni furaha

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho. Haya machungu ya kina Polepole wanadhani wapinzani huwa wanatania!!? Kila mara kuiba kura ,kuwaua na kuwazuia kufanya siasa na wakiongea...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wote duniani wangekuwa hivi, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu

    Watu wote duniani wangekuwa wanaishi maisha haya wanayoishi Wakristo wa kweli, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu. Wakristo wa kweli: Hawalipi kisasi – badala yake huacha Mungu mwenyewe alipe (Warumi 12:19). Hawaibi – wanaishi kwa uaminifu na kuridhika na walicho nacho (Waefeso 4:28)...
  14. JamiiForums Tanzania Mazingira yapi ni furaha kuishi,

    Sielewi shida ni malezi au tamaduni zetu...? Ni nyakati gani kwenye maisha yako, unahisi uliishi na watu au mazingira Mazuri kwako na kuyafurahia.. ? 1. Kipindi Unasoma O level au A level, iwe ni boarding au day. 2. Ukiwa Chuo, watu wa karibu ni marafik tu. 3. Kuishi kwa Ndugu wa karibu (sio...
  15. JamiiForums Tanzania Kipindi cha furaha simba huwa wakati wa usajili tu

    I salute you kinsmen. Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu. Yanga wanabebwa GSM anaharibu ligi Udhamini wa team nane Mangungu atoke Tshabalala msaliti Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana. Na inaanzia kwa Mo mwenyewe...
  16. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Furaha na Raha. Wati wenhi hutafuta raha wakidhani ni furaha. Mwishowe hujikuta watupu

    TOFAUTI KATI YA FURAHA NA RAHA. WATU WENGI HUTAFUTA RAHA WAKIDHANI NI FURAHA. MWISHOWE HUJIKUTA WATUPU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watu wengi huyachanganya maneno Furaha na Raha wakifikiri yanarejelea jambo Moja jambo ambalo sio sahihi. Nitaeleza kifalsafa, kisaikolojia na kisemantiki...
  17. JamiiForums Tanzania Raha jipe mwenyewe ila ukipewa pia ina raha yake

    Kitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha. Naanza: Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa ) Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu aliniuzia toy humu JF, abarikiwe sana) Kusafiri Kula nyama Kucheza mziki Share na wewe raha zako (labda...
  18. JamiiForums Tanzania Je walio kwenye Viti vya Mamlaka wana furaha? Na je wanakuwa na wivu au husuda kwa sisi raia wa kawaida?

    Hili swali nimewahi jiuliza sana .sasa leo nimeona nipate ku share na wadau humu. Kilichonisukuma mpaka kujiuliza hili swali ni nyakati za hafla za kijamii au za kimichezo zinapowakutanisha viongozi na wananchi wa kawaida. Ipo hivi mimi huwa ni good observer na ku pay attention kila jambo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Angefufuka Leo Hii Angebubujikwa Machozi ya Furaha Utafikiri amepigwa Bomu la Machozi na Kumshukuru Rais Samia kwa kutimiza Ndoto Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  20. JamiiForums Tanzania Sikutegemea hakika nimekoma ni majuto 70% furaha 10%

    ISEE kiukweli mwenzenu nna majuto+furaha,kuna binti nilikutana nae katika harakati zetu vijana,mimi ni kijana ambae sijawahi kuoa japo ka umri kangu kanakaribia thirty,huyu binti sio pisi kali wala nini,na mimi niliwish siku zote nije kuoa binti ambae ni standard ili kuepusha mambo mengi against...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…