Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho.
Haya machungu ya kina Polepole wanadhani wapinzani huwa wanatania!!? Kila mara kuiba kura ,kuwaua na kuwazuia kufanya siasa na wakiongea...
Watu wote duniani wangekuwa wanaishi maisha haya wanayoishi Wakristo wa kweli, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu. Wakristo wa kweli:
Hawalipi kisasi – badala yake huacha Mungu mwenyewe alipe (Warumi 12:19).
Hawaibi – wanaishi kwa uaminifu na kuridhika na walicho nacho (Waefeso 4:28)...
Sielewi shida ni malezi au tamaduni zetu...?
Ni nyakati gani kwenye maisha yako, unahisi uliishi na watu au mazingira Mazuri kwako na kuyafurahia.. ?
1. Kipindi Unasoma O level au A level, iwe ni boarding au day.
2. Ukiwa Chuo, watu wa karibu ni marafik tu.
3. Kuishi kwa Ndugu wa karibu (sio...
I salute you kinsmen.
Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu.
Yanga wanabebwa
GSM anaharibu ligi
Udhamini wa team nane
Mangungu atoke
Tshabalala msaliti
Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana.
Na inaanzia kwa Mo mwenyewe...
TOFAUTI KATI YA FURAHA NA RAHA. WATU WENGI HUTAFUTA RAHA WAKIDHANI NI FURAHA. MWISHOWE HUJIKUTA WATUPU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Watu wengi huyachanganya maneno Furaha na Raha wakifikiri yanarejelea jambo Moja jambo ambalo sio sahihi.
Nitaeleza kifalsafa, kisaikolojia na kisemantiki...
Kitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha.
Naanza:
Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa )
Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu aliniuzia toy humu JF, abarikiwe sana)
Kusafiri
Kula nyama
Kucheza mziki
Share na wewe raha zako (labda...
Hili swali nimewahi jiuliza sana .sasa leo nimeona nipate ku share na wadau humu. Kilichonisukuma mpaka kujiuliza hili swali ni nyakati za hafla za kijamii au za kimichezo zinapowakutanisha viongozi na wananchi wa kawaida.
Ipo hivi mimi huwa ni good observer na ku pay attention kila jambo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
ISEE kiukweli mwenzenu nna majuto+furaha,kuna binti nilikutana nae katika harakati zetu vijana,mimi ni kijana ambae sijawahi kuoa japo ka umri kangu kanakaribia thirty,huyu binti sio pisi kali wala nini,na mimi niliwish siku zote nije kuoa binti ambae ni standard ili kuepusha mambo mengi against...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
awasili
furaha
jijini mwanza
maelfu
mapokezi
mbona
mkoani
mwanza
oktoba
oktoba tunatiki
rais
rais samia
samia
simiyu
tabasamu
tube
video
wananchi
wenye
you tube
Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu
Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia
Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote
Hii hasa ni kutokana na nchi zinazoizunguka Israel kutoa matamko ya kijinga kuwa eti wataifuta...
Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo?
1. Sugu?
2. Gwajima?
3.Mbowe?
4.Yeriko Nyerere?
5. Wenje?
6. Wale Covid 19? mmoja wao?
Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
Ndugu zangu Watanzania,
Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta...
Wakuu Nimerudi tena na hawa kataa ndoa, nimekaa nikaangalia maisha ya mabachela (na mimi nimewahi kuwa mmoja wao), nikagundua kuwa kubaki hujaoa kwa muda mrefu ni kama kujitesa. Maisha ni ya muda, ya kubahatisha, ya kuomba msaada kwenye kila jambo.
Kero kuu za maisha ya bachela:
1. Hakuna mtu...
Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma.
Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa.
Hii...
Hii ni mada ya chakula cha usiku kwa wakubwa, kama hupendi mambo hayo usifungue huu uzi.
Leo huyu baba watoto wangu kanikuta nimekaa kigodani naandaa chakula kafika akanisalimia huku...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja...
Wapo watu ambao baada ya kuachana na wapenzi wao huanza kung'aa, kuwa huru, na hata kujiendeleza zaidi. Je, ni kwamba mahusiano yao yalikuwa kikwazo? Au kuna kitu watu hukosea wanapokuwa kwenye mahusiano? Tujadiliane kwa uhuru — labda kuna funzo kwa wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.