furaha

  1. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuwa na Amani na Furaha ni Kujifunza Kutojali Baadhi ya Mambo

    Anaitwa Bowiwksi alikuwa anapenda kuwa mwandishi wa vitabu lkn kwa bahati mbaya sana hakuna mchapishaji ambaye alitaka kufanya naye kazi,kazi yake ilikuwa mbaya na hivyo kuwafanya wachapishaji kutopenda kufanya nae kazi Alikataliwa kwenye vitabu,majarida,machapisho na hata kwa washairi,matokeo...
  2. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Kukutana na Ndugu Wakati wa Sherehe: Kero au Furaha ya Familia?

    Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Gari lenye Mabango ya Picha za Dkt. Samia, Abiria waliokuwemo wanatazama Hotuba za Lissu. Walionekana na furaha sana

    Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa. Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Furaha yako itarejea au kuongezeka, ukifanya mambo haya 15

    Watu wengi wamepoteza furaha maishani mwao kwa sababu mbalimbali za kimaisha. Kama na wewe huna furaha, furaha yako inaweza kurejea ukifanya mambo yafuatayo: Kuna aliyekukosea? Usimchukie, msamehe – Chuki huiba furaha, lakini msamaha huleta amani. Kuna jambo limeishaharibika? Acha kulalamika –...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakenya wanaonekana wenye furaha zaidi kuliko Watanzania?

    Swali hili limekuwa likijirudia mara kwa mara, hasa tunapojaribu kulinganisha tamaduni na mtazamo wa maisha kati ya Tanzania na Kenya. Ingawa furaha ni hisia ya kibinafsi, kuna mambo ya kijamii, kiuchumi, na kitamaduni yanayochangia jinsi jamii inavyoonekana kuwa na furaha au kutokuwepo kwake...
  7. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na furaha. Congo DR na Tanzania hazina furaha kabisa.

    https://worldpopulationreview.com/country-rankings/happiest-countries-in-the-world
  9. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

    Natumaini ni kwema wakuu. Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122). Imenisikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko! Source: BBC News Swahili Kwanini watanzania hawana furaha...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani kwa mujibu wa UN 2025

    Finland imeorodheshwa kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo. Wataalamu wanaamini kuwa ukaribu wa Wafinlandi na asili pamoja na upatikanaji wa mfumo mzuri wa ustawi husaidia kuelezea nafasi yake ya juu inayoendelea katika Ripoti ya Furaha ya Dunia inayosimamiwa na...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawana furaha na hili sakata la derby

    Tofauti na wakati wowote, tangu siku walipotangaza kutopeleka timu uwanjani, mashabiki wa Simba wamekuwa down kidogo, zile tambo na mbwembwe zimepungua na hata wakijadili jambo hili wanajikita kwenye maneno ya wachambuzi. Bila kujali uhalali wa timu yao kususia mchezo, wanaonekana kufeel unyonge...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mtoto wa Elon Musk na Babu Trump wakionekana na furaha tele wakielekea kupanda Helikopta

    jina lake ni Little X
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilichotoka Kukiona muda si mrefu kwa Mtaalam wangu ambaye kwa 100% huwa haongopi ngoja niagize kabisa Wine zangu na niianze furaha usiku huu huu

    ANGALIZO KALI Huu uzi wala hauhusiani na jambo lolote lile ambalo labda unalihisi, bali nimeamua tu Kuandika nikimaanisha vingine!!!!
  14. immortanity

    JamiiForums Tanzania Kuwa na furaha ndiyo amani yenyewe ya moyo

    Wakuu bila furaha amini kwamba hakuna amani ya moyo . je ? ni vitu gani wewe vinakupea furaha katika maisha yako ya kila siku . Mimi binafsi nikawa na pesa mfukoni ndiyo furaha yangu ya kwanza afu kingine kula mpka nishibe .
  15. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Mbwa huwa na Furaha wawapo wenyewe

  16. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga Leo amekaribishwa kwa furaha na heshima kubwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi

    Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali. Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Anachokitaka mchawi kutoka kwako sio kingine chochote isipokuwa furaha yako. Sababu hizi hapa

    Mchawi hana shida na wewe kuwa tajiri as long as your not happy with your money ( mfano uugue Maradhi ya kukusosesha furaha: E.g kukufanya ushindwe kusimamisha vizuri, usile baadhi ya vyakula mfano vyakula vyenye chumvi, sukari, usinywe pombe etc) Mchawi hana shida na wewe mtoto wa kike...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sisi KMC leo tunachapika na Yanga kinyama. Ni furaha kwetu kufungwa na Team kubwa kama hii

    Tutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv. Kocha wetu katushauri tu relax tu tu enjoy ball na tujifunze kutoka kwa mabingwa. Issue hapo si kutafuta point. Sisi...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
  20. The Common

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

Back
Top Bottom