furaha

  1. JamiiForums Tanzania M-BET: Mdhamini pekee wa timu katika NBC PL mwenye furaha kuliko wote

    Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata marejesho lukuki. Katika msimu huu (2022/23); 1. M-BET imemwaga bilioni 1 Simba Queen. Kwa sasa Simba...
  2. JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  3. JamiiForums Tanzania Yamebaki masaa 24 Mashabiki wa Simba tuwe na furaha

    Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
  4. JamiiForums Tanzania Bei za vifurushi kupanda huku waziri mwenye dhamana akikenua meno kwa furaha ni matusi mazito kwa waTanzania

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk. Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Furaha iliyoje

    Furaha iliyoje baada ya juzi juzi hapa kama siku chache zilizopita, nilimpigia simu mpenzi wangu kwa kutumia simu ya rafiki yangu. Alipokea simu tu na kusema "Mambo baby wangu" tena kwa sauti laini na ya mahaba. Bila hata kusikia sauti yangu lakin alijua ni mimi. Kwa kweli nilijisikia furaha...
  6. JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi ya kimapenzi yanavunjika kwa sababu wengi wameyafanya kuwa chanzo chao kikubwa cha furaha

    Habari wana jukwaa. Leo nataka niseme kitu kidogo sana. Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume? Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi wa wale wanaoingia kwenywe mahusiano ya kimapenzi lengo kubwa ni kupata furaha kupitia mapenzi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni Jukumu Letu Sote Kuhakikisha Wazee Wetu Wanaishi Maisha ya Furaha

    Kuzaliwa, utoto, ujana, utu uzima na uzee ni hatua za kawaida katika maisha ya mwanadamu. Hatua hizi zote zina raha na shida zake. Kila hatua fulani inapopita nguvu za kimwili hupungua na vilevile utulivu wa akili huzorota. Kwa kuwa umri unasonga, masuala mbalimbali ya kiafya hutokea. Baadhi ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

    Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct. Sehemu ya kwanza. Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini...
  9. JamiiForums Tanzania A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

    Wanabodi Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri. Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 37 atumia kidole kimoja kujenga maisha ya furaha

    Julai Mosi 2022, katika Kijiji cha Desheng, Mkoani Shaanxi China, Bibi Zou Wenling mwenye umri wa miaka 37 aliyepoteza vidole tisa alipokuwa na umri wa mwaka mmoja anatumia kidole kimoja kudarizi, kulima na kufuga kuku akiwa na tabasamu kukabiliana na maisha magumu.
  11. JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha: Wananchi Asilimia 68 "Hawana Furaha", Serikali yaonya

    Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii yenye huzuni iliyojaa picha za furaha na ufahari katika mitandao ya kijamii

    Utambulisho Habari Wana jamii Forum,kwa majina naitwa Lenny Godfrey mkazi wa wilaya ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam.Na pia Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu Cha Sayansi na Teknologia Cha mtakatifu Joseph Mbezi jijini Dar-Es-Salaam katika ngazi ya Uhandisi. Kutokana na ukuaji wa Sayansi na...
  13. JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu wanawake wanahisi wao peke yao ndo wanahitaji furaha

    KIBIOLOJIA Mahusiano Mengi Yanavunjika Kwa Sababu Wanawake Wanahisi Wao Peke Yao Ndo Wanahitaji Furaha. Lakini wanawake wengi wana amni wao ndo wanasitahili furah kuliko mwanaume na akiikosa furaha mwanamke mwanaume unaonekana hufai kabisa na mwanaume anaonekana haumjali. Kiasili wanawake ni...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto aonekana mwenye Furaha muda muda wote anatabasamu

    Salaam Wakuu, Jioni ya leo, Mgombea Urais wa Kenya Ruto, ameonekana mwenye tabasamu muda wote. Ni baada ya kukutana na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Agosti 9, 2022. Nini siri ya hili tabasamu?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake washiriki katika mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba na kuanza maisha ya furaha mjini Meishan, China

    Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou. Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Nitunze, nithamini ili niishi kwa amani na furaha

    Habari za muda huu mpendwa, nipende kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kutumia muda wako na kuisoma makala hii "NITUNZE NITHAMINI ILI NIISHI", ni  makala iliobeba sauti ya mtu (watu) wanaoishi na maambikizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi ikiongea na jamii kwa ujumla wake. Makala hii...
  18. JamiiForums Tanzania Furaha ya Albert Chalamila baada ya kuteuliwa Mkuu wa Mkoa Tabora

    Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM. Chalamila aliendelea kuheshimu mamlaka ya uteuzi na aliendelea kuishi maisha ya kawaida ya kujichanganya na watu. Vijana lazima mjifunze kuheshimu...
  19. JamiiForums Tanzania Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  20. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli hii Furaha ninayokuona nayo sasa umeitoa wapi na inatokana na nini?

    Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta. MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?. Hebu shea nami basi Comrade Oky?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…