furaha

  1. JamiiForums Tanzania Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  2. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika kuendeleza kipaji

    Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wa Chimala waonesha furaha yao kwa Rais Samia

    Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
  4. JamiiForums Tanzania Birthday yangu inakaribia, sina amani wala furaha, na sifurahii kitu

    Sina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena. Nadaiwa NMB, NBC na Benki ya Maendeleo Bank Bank ya kanisa. Nina msongo mkali sana wa mawazo maana mpaka sasa malI zangu zimepotea kwa kuziweka kama collateral...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupata raha na Furaha ikiwa unaishi hapa Tanzania?

    Kwa sisi watu wenye upendo ule wa ndani Kabisa Je unawezaje Kupata Furaha huku umezingukwa na watu masikini wanaokosa mpaka kula yao ?? Binafsi Mimi Sina Furaha Furaha ya kweli nikuzungukwa na watu wenye Maisha mazuri , walfare nk mbaya zaidi ninapoishi kwa nyuma kama mita 200 kuna wadada...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

    Kuna kitu wauaji huwa wanajihisi"Upweke"sababu hakuna furaha kwenye kutoa roho ya mtu hasa pale mnapokutanisha macho kwa ghafla wakati wa tukio husika. Anakutazama kwa macho ya kukuuliza "Kwanini mimi"? Hata unapomvizia kwa ghafla pale mwili wa binadamu anapoanguka chini unajihisi hatia...
  7. JamiiForums Tanzania Jumaa Kareem, Ijumaa ni siku ya furaha kwa Waislamu wote, Hakikisha leo unafika Msikitini

    Mtume Muhammad (s.a.w) anatujulisha mambo mawili muhimu yanayofanya siku ya ijumaa iwe bora miongoni mwa siku za juma. Kwanza ni kwamba, hii siku ya Ijumaa ndiyo aliyoumbwa Adamu. Pili ni kwamba siku hii ya ijumaa, baada ya Adamu kumkosea Mwenyezi Mungu aliomba msamaha na toba yake ikapokelewa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia umeleta furaha nchini

    Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!! Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata kama mambo mengine yalikuwa kisheria. Mfano, suala la ajira Kwa watumishi wa serikali, watumishi...
  9. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Morogoro Abood najua leo una Furaha kwa Adui yako mkubwa DC Msando Kuhamishwa

    Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama. Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
  10. JamiiForums Tanzania Furaha ya kumaliza malipo ya mkopo wa elimu ya juu

    Kwa wale wanaoona tarakimu za makato ya mkopo wa elimu ya juu wanaelewa faraja ya kumaliza mkopo juu. Kwakeli wale waliochelewa kujiunga na elimu ya juu wanaulipa mpaka miaka ya kukaribia kustaafu. Infewezekana kusamehe wa miaka 50+ iliwaanze kujiandaa na maisha ya kustaafu. Kuna wana aga...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku. Serikali na uongozi uliopo hasa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania Democrasia imerejea, nimetokwa na chozi la furaha leo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuondolewa kwa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa zuio hilo lililodumu kwa miaka 6 baada ya kauli hii watanzania wazalendo tunasema Rais Samia Suluhu amekuja kuikomboa Tanzania zile 4R zinafanya kazi kweli...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawana furaha na maisha yao

    Mengi huja kwa njia tofauti tofauti katika haya maisha,Kila kinachokuja na kutokea katika maisha yako kichukulie kama njia moja wapo ya kujifunza kwako. Maisha mazuri ni yale yakukubaliana na hali uliyo nayo,kuridhika na kile ulichonacho kile ambacho kila ufunguapo macho unakutana nacho na sio...
  14. JamiiForums Tanzania Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma. Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tazama video za wana CHADEMA wakicheza kwa furaha huku wakisubiri kumpokea Rais

    Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi. Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada...
  16. JamiiForums Tanzania Nini maana ya furaha, ni kuacha Legacy

    Kuna Goals au (Malengo) unayawaza kuyafikia lakini I promise you unaweza kufika still ukakosa Furaha Kitu gani nataka kusema kuwa na kila kitu bado sio kupata furaha. Furaha ni kuacha Legacy na kuhakikisha unakuwa na Athari chanya katika Familiya yako Jamii na Taifa kwa ujumla. Jifunze...
  17. JamiiForums Tanzania Mgao unaoendelea wa umeme, ni furaha kubwa kwa Mitandao ya Simu

    Huu mgao wa umeme unaoendelea kwa kasi, umesababisha wengine tutumie simu za mkononi kuangalia mpira, jambo ambalo linatugharimu sana sisi wapenzi na watazamaji wa mpira wa miguu. Vifurushi vimepanda bei, mafuta yamepanda bei, in short maisha kwa ujumla yamepanda juu. So, Mgao unaoendelea wa...
  18. JamiiForums Tanzania Machozi ya furaha na mikumbatio Kherson bada ya huduma ya treni ya kuunga Kyev kurejeshwa

    Urusi walipopiga mabomu na kuteka mji wa Kherson, walisema wameukomboa, ila baada ya wazalendo wa Ukraine kutembeza kichapo cha kuwaondoa, wananchi wamepokea na furaha sana maana ndio ukombozi haswa.. Tears as first Kyiv train arrives in freed Kherson Tears as first Kyiv train arrives in freed...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hii tunaiitaje timu kushinda lakini mashabiki wanakosa furaha na kuwa kama wamefiwa hivi

    Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
  20. JamiiForums Tanzania Nina furaha kuwa baada ya Yanga SC Kufuzu CAFCC atakayejadiliwa zaidi Jamiiforums ni GENTAMYCINE na siyo Mwingine

    Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa Talanta Kubwa ya Kujitengenezea Mjadala na niwe Mjadiliwa Mkuu wa Matukio Kinzani hapa Jamiiforums. Watu tokea Saa 4 Kamili Usiku huu baada ya Mechi ya Yanga SC na Club Africaine kumalizika Akili zao zote zilikuwa ziko Jamiiforums na hasa hasa Kwangu Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…