fundi

  1. JamiiForums Tanzania Msingi tu iwe 13m?! Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia!

    Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2. Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4. Mzamo wa footing ni 1.8m, msingi ni 1m. Plot ni plain haina mabonde, ila udongo ni mfinyazi mweusi. Huyu ni fundi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

    Historia ya Peugeot nchini Tanzania, na kwa hakika Afrika, imefungamana sana na model maarufu ya 504, ambayo ilipata umaarufu mkubwa na kupata jina la utani la "Malkia wa Afrika" kutokana na kutegemewa sana nakuhimili changamoto za barabara za Kiafrika na kutumika kwenye hafla za mikutano mbali...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  6. JamiiForums Tanzania Fundi rangi za majumbani

    Habari, Natamani nijifunze jinsi ya kupaka rangi za nyumba. Nipeni mwongozo naanzia wapi angalau nianze kama saidia fundi huku najifunza, msiseme veta maana sna pesa ya kujifunzia.
  7. JamiiForums Tanzania Fundi wa urembo wa kona,madirisha na nguzo za nyumba

    Nahitaji kufahamu fundi wa kuremba nguzo, kona za nyumba na madirisha anayepatikana Arusha na bei ya kazi hiyo kwa kila dirisha,kona na nguzo,nina kazi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tunafanya ujenzi bora wa nyumba

    🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA, UBORA WA KUDUMU! 🔥🏗️ Unataka nyumba yako iwe ya kuvutia na ya kisasa? Tunakuletea huduma bora za ujenzi na ukamilishaji kwa viwango vya juu! 👌🏾🏠 🔨 Huduma Zetu: ✅ Finishing & Decorations – Tunamalizia kwa ustadi wa hali ya juu ✨ ✅ Plasta – Ukuta wako...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kibarua chochote hata saidia fundi nipo Mwanza

    Wakuu Mimi ni kijana mwenye miaka 25 naomba kazi hata ya saidia fundi nipo mkuyuni jijini mwanza Natanguliza shukrani.
  10. N

    JamiiForums Tanzania VIBARUA VYA SAIDIA FUNDI

    Habari zenu Wana jamiiforum,nilikua ninashida kama kunafundi anaweza akanishika mkoni kama saidia fundi au kama Kuna mtu anaweza akanielekeza sehemu ya kupata vibarua hivyo kwa mkoa wa dar es salaam,Nina uzoefu kidogo wa kuskim,kupiga rangi na kujenga tofali
  11. JamiiForums Tanzania FUNDI CCTV CAMERA MWANZA , ELECTRIC FENCE, REMOTE GATE, ALARM SYSTEM MWANZA 0747274532

    Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk. Tunaunga mifumo yote kwenye sjmu ya mkononi hivyo utaweza kuona matukio yote kwenye simu yako ukiwa popote pale. Tunafunga fensi...
  12. JamiiForums Tanzania Fundi /programmer wa volvo V40

    Habari ndugu zangu,naomba tupeane connection hapa za fundi/programmer mzuri wa volvo v40 T4 ya 1600cc petrol 2014 model Anatakiwa fundi mzuri sio wa kubahatisha ,yaani anayeijua hiyo gari vizuri.
  13. JamiiForums Tanzania FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME

    BWANA FUNDI NIPO HAPA.. KAMA TV YAKO INA CHANGAMOTO YOYOTE INATIBIKA BILA SHIDA NA TUNAFANYA MPAKA HOME SERVICE PIA.. KAMA SHIDA NI MOTHERBOARD TCON POWER SUPPLY BACKLIGHT KIO0 SHIDA YOYOTE TV IMEZIMA GHAFLA TUNAWASHA, SAUTI, MWANGA NA MATATIZO YOTE WE PIGA SIM 0744680670 0618199522 TUNAKUFIKIA...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza kumchukulia fundi msumbufu.

    Umuofia kwenu, Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo. Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta...
  15. JamiiForums Tanzania Fundi na gharama za kuondoa mistari kwenye Smart TV

    Waungwana nawasalimu, Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema. Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
  16. JamiiForums Tanzania Mzee wangu ni fundi wa ujenzi

    Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac. Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live. Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi iliyopita. Ushahidi ni mimi mwenyewe kunijengea nyumba yangu.Kwahiyo yupo vizuri kwenye professional...
  17. JamiiForums Tanzania Fundi wa kujenga chemba za kisasa

    Habari naitwa James Ni fundi wa kujenga chemba za kisasa za kuvutia karibu 0743257669 Tupo banana ukonga
  18. JamiiForums Tanzania Fundi kupaua mapaa ya kisasa nipo hapa 0743257669

    Hii ni nyumba ya ya vyumba 3 vya kulala Mbao za 2/2 mbao 130 Mbao za 2/4 mbao 150 Misumali kg 45 ya inch 4 Mbao za fisherboard 18 Rangi sado 1 Kofia 26 Valley 18 Misumali ya bati pakt 30. Bati 140 Nipigie au nichek Whatsapp 0743257669 tufanye kazi Tunapatikana ukonga dsm
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi Fundi Ujenzi Anavyoweza Kujitangaza Kwenye Internet Bila Gharama Kubwa

    Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi. 1. Tumia Mitandao...
  20. JamiiForums Tanzania Fundi wa mashimo ya kisasa yasiyojaa

    Tupigie 0743257669 #Watalaamu waliobobea katika ujenzi wa mashimo ya kisasa visivyojaa haraka kutokana na mfumo wa tofali na mfumo wa mawe ✍️SIFA ZA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA 📍HAVIJAI KABISA 📍HAVITOI HARUFU 📍HUCHUKUA ENEO NDOGO 📍 GHARAMA ZETU NAFUU SANA 📍HUJENGWA NDANI YA SIKU NNE ✍️Kwa mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…