fresh

"F.R.E.S.H." was the second single released from Scribe's second studio solo album, Rhyme Book.
It was released on 8 September 2007."F.R.E.S.H." stands for "Forever Rhyming Eternally Saving Hip hop".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Luzzi: Uganda Needs Fresh Vision Not Old Political Narratives

    Former Kampala Central parliamentary candidate Abraham Luzzi has urged emerging political leaders to abandon divisive rhetoric and outdated political strategies, calling instead for fresh ideas, reforms, and a unifying vision to address Uganda’s current challenges. Former Kampala Central...
  2. Da Dona

    Continued Flight Delays Raise Fresh Concerns at Uganda Airlines

    Uganda Airlines has once again experienced significant flight delays and cancellations that have disrupted travel plans for many passengers. On one day alone ( yesterday, 22/02) the airline cancelled flights to Lagos and London, leaving travellers disappointed and raising concerns about the...
  3. NGAYANIMO

    Niko fresh Lyrics by Real jongwe "Sugu"

    Ukiniuliza Vip mambo..?/ Nitakujibu mambo poa/ Ashishi Pafu mbili nashangaa unakohoa/ Mchezo unaocheza tuliucheza zamani/ Usiniulize mimi na nani..? Labda na Kaka ako / Au Uncle Au labda na Baba ako/ Navuta nao Bangi/ Wengi wako University wanatafuta masters na P.h.D/ Mimi niko fresh kama...
  4. lewiathan

    Nauza Samaki Aina zote Kutoka Ziwan Tanganyika, fresh fish (Wenye Bucha za Samaki)

    Aina za Samaki Sangara. Kg 1 Tsh 10,000 Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000 Sato. Kg 1. Tsh. 9,000 Migebuka Kg 1. Tsh 8,000 Nungi. Kg 1. Tsh 8,000 Kungura. Kg 1. Tsh 8,000 Singa. Kg 1. Tsh 7,000 Napatikana Sumbawanga. (Usafr Juu yako Mteja) Name: Silvester...
  5. Pdidy

    Samaki Fresh toka Mwanza zimeingia leo kg 13000 ukinununua zaidi ya kg 10.. Unaletewa bure ulipo Dar

    TUPAMBANE TUKIWA HAI WAPENDWA KIJANA WETU AMEINGIA NA MZIGO.MWINGI TU WA SAMAKI TOKA MWANZA SANGARA KG 13000 UKINUNUA ZAIDI YA KG 10 UNALETEWA BURE CONT 0783 80 52 14 Past DICKSON Ukiitaji na Sato kama zitakuwa hazinaisha anakuketea ulipo Mungu awabariki
  6. R

    My memory is very fresh, walikana kuwa hawajalifungia Kanisa la Gwajima. Leo tena eti wamelifungulia

    Mfa maji hutapatapa! Mlisema hamjalifungia, leo mnafungulia lipi? Mna dhambi kubwa
  7. Tuo Tuo

    Nataka gari ya mil5 IST,vitz iwe D fresh?? Sijui kuhusu magari ila Usijaribu kunirubuni

    Matajiri Nashida na kagari flan ivi ka kujifunzia funzia na kwendea sokoni. Location mwanza Nb: huwa napenda kujua na sababu ya kuuza
  8. ubuntuX

    Kuna wadau wa fresh coffee humu?

    Habari wakuu? Je kuna wadau wapenzi wa kahawa nzuri na fresh humu?upo tayari kulipia bei gani kwa premium fresh coffee ambayo imeroastiwa si zaidi ya 48 hours.? Tembelea website yangu kuona machaguo yako na maoni yako. Website ni mpya na nakaribisha maoni mbali mbali. www.Brewa.co.tz or call...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    Hivi dunia nzima kuna mhindi anayemiliki timu na anatoa pesa fresh tu bila malalamiko?

    Si kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara. Hiyo ni jadi yetu na hakuna wa kutubadilisha. #SijamtajaMtu.
  10. ubuntuX

    Kahwa safi na fresh iliyokaangwa chini ya saa 48

    Kama mdau niliebahatika kulelewa kwenye mazingira ya kutegemea kilimo cha kahawa kwetu Arusha, nilikua nasikitika sana watumiaji wengi wa kahawa kutojua ladha halisi na fresh ya Kilimanjaro. Kahawa nyingi sio fresh aidha zimekaa sana au quality ya Buni ni sio nzuri. Kwa miaka mitatu iliyopita...
  11. Chizi Maarifa

    Sijui huyu dada anawezaje kuwa na "Kipapiro" fresh all the time. Nikimuuliza anasema kawaida tu

    Katika wanawake 10 inawezekana mmoja au asiwepo ambaye atakubali ukishike kipapiro chake akiwa ametoka kazini. Na sababu kwa wengi huwa wanaogopa utakutana na harufu ambayo si ya mvuto. Dada mmoja aliniambia tu kwa uwazi. Chiddy, utakutana na harufu ya mkojo.nikasema haina shida.na ni kweli...
  12. ukwaju_wa_ kitambo

    MABAGA FRESH

    KUTOKA DISABLED JAY RAPERS GROUP HADI KUJIITA " MABAGA FRESH".. Katika ulimwengu ambao mara nyingi huhusisha mafanikio na ukamilifu wa kimwili na kiakili, ni muhimu kufahamu kuwa kuna watu wenye ulemavu ambao wameweza kuvuka changamoto hiyo na kutenda mambo makubwa ambayo yanaweza kuwa mfano...
  13. M

    Chumba master kinapatikana Pugu Kigogo fresh

    Vyumba ni vikubwa, ni chumba na sebule choo ndani na kibaraza nje pia kuna choo cha nje. Kodi 80,000/= Hakuna dalali 0684223374
  14. johari Joh

    Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

    Kama unahitaji Samaki weka order yako lipia utumiwe mzigo wako . • SATO. 1. Wabichi. 2. Kukaanga. 3. Kg 13,000. • SANGARA. 1. Wabichi. 2. Wakavu. 3. wakukaanga. 4. Kg 11,000. • DAGAA. 1. Wabichi Kg 5,000. 2. Wakavu Kg 8.000. 3. Wakukaanga. 18,000. •...
  15. Mributz

    Freezer fresh kabisa

    Ubungo dsm 0718909429 850k Lita 450
  16. B

    Fresh Dossier: Africa’s deadliest wars getting fueled by UN sanctioned arms companies.

    By Reporter. Fresh Dossier: Africa’s deadliest wars getting fueled by UN sanctioned arms companies. New classified reports and documents from the United Nations Security Council and a company supplying arms and armored vehicles to a section of conflict riddled African countries has revealed...
  17. Waufukweni

    Gari lagonga treni Kigogo Fresh, Dar

    Gari dogo la abiria limegonga treni ya abiria katika eneo la Kigogo Fresh, wilayani Ilala, Dar es Salaam, leo asubuhi, Desemba 18, 2024. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), Conrad Simuchale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Video iliyosambaa...
  18. C

    Msaada tutani: 2grfse (Crown Athlete), inalia knock kwa mbali sometime hailii kabisa na iko fresh, engine power haipungui.

    Habari wadau, Nimekwama hapa, mana hakuna check engine light inayowaka. Gari inalia knock kwa mbali lakini nikiwa naendesha, huwa inapotea, ila nikisimama naanza kusikia mlio wa knock. Saa nyengine nikiwa idle, hakuna mlio wa knock kabisa, engine inanguruma vizuri tu, na sometime ikiwa idle...
  19. VINICIOUS JR

    Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

    Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
  20. ELI COHEN

    Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
Back
Top Bottom