freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

    Mbunge wa milele wa jimbo la Hai Mh Freeman Mbowe ( Mwamba Tuvushe ), leo tena amepitishwa na wajumbe wa CHADEMA wa mkutano mkuu wa jimbo hilo ili kugombea tena Jimbo hilo
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA/ Tundu Lissu

    CHADEMA, Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu. Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu. Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

    Wasalaam wana jamvi! Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake! Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Jicho la Tatu: Mgombea Urais CHADEMA ni Freeman Mbowe! Tundu Lissu Pacemaker! Nyalandu ni Serious Contender, Msigwa anatania, Dkt. Mayrose Majinge...

    Wanabodi, Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on logical thinking kwa kutumia critical thinking na kufanya logical progression kwa kupima the motive...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe tafakari, yawezekana nipigo kutoka kwa Mungu kwani Mungu hajaacha kuwapigania waja wake

    Mh. Freeman A. Mbowe naomba weka pembeni itikadi zote za kisiasa utafakari jambo hili. Tafakari, nikwanini kipindi hiki cha kuelekea bunge kuisha umepatwa na tatizo la kuvunjika mguu! Tena usiku wa manane? Lakini kiujumla lilikuwa nitatizo dogo sana ambalo ungeweza kulihandle vizuri tu...
  6. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Spika Ndugai amesema haya, Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais Nakumbuka miaka niliyosoma...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Alianza Chacha Wangwe akaja Tundu Lissu na sasa Freeman Mbowe, hivi Chadema kuna nini? Mbona hatusikii kwenye vyama vingine?

    Kiukweli kuna haja ya kutafakari kwa kina kwanini Chadema tu ndio inapitaga katika matukio tata? Ilianza ile ajali ya Chacha Wangwe na ikaacha maswali mengi. Rip Chacha Wangwe Likaja shambulio la Tundu Lisu ambalo bado ni tata na masikini ya Mungu Lisu akapoteza na ubunge. Sasa kuna hili la...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Familia ya Freeman Mbowe na CHADEMA: Kinachoitwa "unabii wa Mungu" wa mtu anayejiita "Nabii Mashimo" hautoki kwa Mungu, ni tego hatari kwenu!!

    Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii"...
  10. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Freeman Mbowe walikuwa wapi wakati akishambuliwa na ni kweli alipokewa hospitalini akiwa amelewa chakari?

    Kwanza nitoe pole kwa mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kushambuliwa na watu wasojulikana na kisha kuumizwa mguu. Namtakia ahueni na apone haraka kisha kurudi bungeni kuendelea na shughuli za upinzani. Taarifa zinazozagaa kwa kasi mjini Dodoma ni kwamba mheshimiwa Mbowe hakuwa na walinzi alipokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

    Salaam, Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza. Tukio hili limetokea majira ya...
  12. JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Mwenyekiti na KUB Mhe. Freeman Mbowe kwa umma kuhusu Janga la Corona

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA JANGA LA CORONA NA YANAYOENDELEA BUNGENI 1.0 UTANGULIZI Ndugu zangu Watanzania, Kamati Kuu ya Chama chetu CHADEMA, ilifanya kikao chake cha kwanza kwa mfumo wa kidigitali kupitia jukwaa lake la CHADEMA Digital, siku ya Jumamosi...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

    HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu mmoja, kwa nia njema kabisa, tushirikiane kwa pamoja kwenye mapambano haya dhidi ya virusi vya corona...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Things Fall Apart - By Freeman Mbowe

    To those who had never checked with this book, Things Fall Apart is a Nigerian novel written in response to European novels that depicted Africans as savages who needed to be enlightened by the Europeans. I liken this with our local politics where Opposition parties particularly, Mbowe’s CHADEMA...
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa salamu za Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania

  17. JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

    MTAZAMO NA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU JANGA LA CORONA NA ATHARI KWA TAIFA 1.0 Utangulizi: COVID 19 (Corona Virus Disease of 2019) ni ugonjwa usio na tiba unaoitesa dunia kitabibu, kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ni mlipuko wa ugonjwa unaosambaa kwa kasi na unaoua binadamu bila kujali...
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuunguruma Dodoma. Mazito kuibuliwa, msihofu kuhusu corona Tahadhari zote zimechukuliwa

    Kila mmoja atege sikio lake , hamtajuta .
  19. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aheshimiwe

    Nimekaa na kutafakari sana. Nimemtafakari bwana Freeman Mbowe. Binadamu huyu anatakiwa apewe heshima kubwa sana. Yeye siyo adui wa nchi hii, la hasha! Mbowe ametoka kwenye jamii iliyostaaribika sana. Alichofanya tangu enzi zile mpaka Leo ni kuwafanya watanzania wawaze nje ya box. Kwamba lazima...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

    Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…