forums

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Africa Forums: Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika

    Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika. Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk. Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au...
  2. JamiiForums Tanzania MAOMBI: Uongozi wa Jamii Forums uanzishe Forum ya Yanga, ili mashabiki wa mabingwa tubadilishane mawazo

    Kiroho safi tu Nawasilisha Povu ruska
  3. M

    JamiiForums Tanzania Forums gani hapa JF hujawahi kuingia?

    Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna majukwaa nilikuwa sijawahi kuingia kabisa mpaka hivi karibuni. Je wewe umewahi kutembelea majukwaa yote...
  4. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  5. JamiiForums Tanzania Niko addicted na JamiiForums

    Aisee humu JF Kuna nini. Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k. Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi Naipenda JamiiForums mno
  6. JamiiForums Tanzania Eid Al Adha jamii forums

    As salaam alaikhum ndugu zangu Wana jamii forums Leo ni sikukuu Eid Al Adha tusherekee kwa pamoja tufurahie, tudumishe amani upendo na umoja katika Haki. Mola mtukufu awalinde na kuwabariki Sana Nasherekea sikukuu na uvutaji wa bangi tulivu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Zamani ukisikia siku ya Bajeti ilikuwa Talk of the Town, Nchi ilizizima, siku hizi habari utaziona kwa uchache sana

    Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe. Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa. Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma. Siku hizi...
  8. JamiiForums Tanzania Takwimu za JamiiForums

    Habari wana Bodi. Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu. Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu? Post zilizotumwa huku ni sahihi? Nikiwaza ndugu yangu GENTAMYCINE anaweza akawa anapost zaidi ya laki 4 peke yake...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi Jamii Malima aliyetajwa na JamiiForums kuwa anatumia madaraka vibaya, asimamishwa kazi

    https://www.youtube.com/watch?v=_fJw7MIsJZk Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai Polisi Jamii Kata ya Nala, Yohana Nyagalu “Malima” kutumia Madaraka yake vibaya ikiwemo kunyanyasa na kudhalilisha Wananchi, Jeshi la Polisi limechukua hatua ya kumsimamisha Askari huyo kwa muda wa...
  10. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

    Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao. Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mada zilizopo JamiiForums zinaonesha kama taifa vitu tunavyopenda au ni umri tu?

    Wakuu habari za Jumatatu? Leo nimeamka zangu asubuhi nikiwa nasema kama na TT wa kwenye treni wakinizingua kama wiki ile iliyopita Ati kwamba chenji hakuna niende nikalipie getini nitampa njia sahihi ya kufanya kazi yake. Hii kitu inaniudhi sana sijui ndio kweli sarafu hazipo kwenye mzunguko...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

    Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
  13. JamiiForums Tanzania Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

    Habari zenu 🖐 Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma. Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona mademu akaanza sifa za kuji-mwambafy, bac yule jamaa nikamtuliza vizur tuu kwa upendo, bhana acha...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna jambo gani la maana umelibeba toka hapa Jamii Forums kwa 2023?

    Pamoja na JF kuwa platform ya kutuondolea stress ila pia imekuwa na mambo mengi ya kutujenga kwenye maisha yetu.Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya 2023 kuisha, Binafsi nimejibebea mambo yafuatayo kwa mwaka huu 2023 toka hapa JF; 1. JF ndo sehemu pekee kwa sasa ninapoweza kupata ushauri mzuri...
  15. JamiiForums Tanzania Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake. Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu Taifa CWT mpo wapi? Zungumzeni watu wajue mbivu na mbichi

    BARAZA KUU TAIFA CWT MPO WAPI? ZUNGUMZENI WATU WAJUE MBIVU NA MBICHI Na Thadei Ole Mushi. Inashangaza Misalaba anapata wapi nguvu ya kuzuia account za CWT zisifanye kazi wakati chombo cha juu kabisa cha chama Baraza kuu likiwepo. Hiyo Nguvu Misalaba aliyonayo inatoka wapi ndio ya kudili nayo...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Jamii forums.

    Wiki tatu zilizopita, niliandika humu Jamii forums, juu ya kuishauri serikali kufungua mpaka wa Mozambique na Tanzania ( Mto Ruvuma). Ili kuruhusu korosho ya Mozambique kuingia Tanzania, nikaeleza kinaga ubaga sababu ya hoja zangu. Nashukuru wenye mamlaka wamechukua maamuzi, mpaka umefunguliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanachama wa JF acheni tabia hii

    Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI World Economic Forums, Bill Gates na Albert Bourla wana mipango ya kupunguza idadi ya watu duniani

    Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazohusisha taasisi na watu maarufu duniani kuwa na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na Bill Gates kuelezwa kuandika katika mitandao wa kijamii akimshauri kiongozi wa World Economic Forums (WEF), Klaus Schwab juu ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Threads ya instagram imechukua mfumo wa JamiiForums

    Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao. Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…