Wakuu wa JF hope mko poa sana na maisha yanaenda fresh pande zenu.
Ninaandika uzi huu kwa uchungu sana kuhusu rafiki yangu wa kufa na kuzikana (he Is like a brother to me), huyu jamaa alijitumbukiza kwenye FOREX yapata mwaka sasa na hakuna kitu amefaidika nacho zaidi ya kupoteza pesa. Jamaa ni...